Kwa walio tayari kufanya kilimo cha mahindi, alizeti, mbazi na ufuta

Kwa walio tayari kufanya kilimo cha mahindi, alizeti, mbazi na ufuta

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
353
Reaction score
43
WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA AINA SWARAJ 744, TUTAKODI WOTE MASHAMBA YA KULIMA HAYO MAZAO. GHARAMA ZA KUNUNUWA TRECTA 28MILIONI, MAHINDI NA MBAZI TUNACHANGANYA KWENYE SHAMBA MOJA ALIZETI NA MAHARGE TUNALIMA TOFAUTI Eg Mahindi ekari 300 alizeti ekari 150 na maharge kama ekari 50. BAADA YA KUVUNA TUNAKOBOA SEMBE, KUKAMUWA MAUTA YA ALIZETI SISI WENYEWE, HUKU TUKIWA NA MALENGO YA MUDA MREFU KUWA SIKU MOJA TUTAMILIKI VIWANDA VYA KUSINDIKA MAZAO MBALI MBALI. TUNAWEZA KUSAJILI KIKUNDI OR TUSAJILI LTD CO. YETU . WADAU TUFUNGUKE KUTOA MAWAZO AMBAYO YATABORESHA. NAPATIKANA KUPITIA NAMBA HII 0765616178. (NAFAHAMU MAENEO MAZURI SANA KWA KILIMO NA MAENEO AMBAYO TUNAWEZA KUKODI MASHAMBA KWA URAHISI) TUNAWEZA FANYA FEASIBILITY STUDY YA HAYO MAENEO BEFORE
 
I Will check you, on your number....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA AINA SWARAJ 744, TUTAKODI WOTE MASHAMBA YA KULIMA HAYO MAZAO. GHARAMA ZA KUNUNUWA TRECTA 28MILIONI, MAHINDI NA MBAZI TUNACHANGANYA KWENYE SHAMBA MOJA ALIZETI NA MAHARGE TUNALIMA TOFAUTI Eg Mahindi ekari 300 alizeti ekari 150 na maharge kama ekari 50. BAADA YA KUVUNA TUNAKOBOA SEMBE, KUKAMUWA MAFUTA YA ALIZETI SISI WENYEWE, HUKU TUKIWA NA MALENGO YA MUDA MREFU KUWA SIKU MOJA TUTAMILIKI VIWANDA VYA KUSINDIKA MAZAO MBALI MBALI. TUNAWEZA KUSAJILI KIKUNDI OR TUSAJILI LTD CO. YETU . WADAU TUFUNGUKE KUTOA MAWAZO AMBAYO YATABORESHA. NAPATIKANA KUPITIA NAMBA HII 0765616178. (NAFAHAMU MAENEO MAZURI SANA KWA KILIMO NA MAENEO AMBAYO TUNAWEZA KUKODI MASHAMBA KWA URAHISI) TUNAWEZA FANYA FEASIBILITY STUDY YA HAYO MAENEO BEFORE
 
Gud idea, nimekuwa na mawazo kama hayo kwa mwaka mmoja sasa.ila tu Watu hawako tayari sana kukusanya nguvu pamoja, nitakutafta
 
wilshere mawazo mazuri kama jinsi kijana Wilshere anayoitendea vyema Arsenali....big uppp.....

Hilo ni wazo zuri sana na la msingi ambalo vijana wa kitanzania tunashindwa kuchangamkia fursa kwasababu ya kufanya kitu mmoja mmoja matokeo yake ni matokeo hafifu. Idea ni nzuri na inawezekana kabisa, mimi nafahamu vijana wa nchi jirani (watani wa jadi) wenye kikundi kama hichi na hufanya kila kitu chenye kuleta faida kupitia kikundi chao...kwao ilikuwa rahisi maana wanafanya kazi sehemu moja ndipo waliamua kujiunga na kuanzisha kampuni yao, kwa sasa wanalima mpaka matunda na kuuzia viwanda vya juisi.

Kwakuwa wewe una-nia inabidi uwe mwanzilishi ujitahidi kuandaa mapendekezo katika maandishi na kisha kujaribu kupata vijana wenye usongo huo (mimi natamani pia). Sasa kwasababu ya kutofahamiana na hivyo kutoaminiana, ni vyema ikawa katika mfumo wa LTD COMPANY yenye katiba na MoU ili kuweka kila kitu wazi na haki na majukumu ya kila mshiriki wazi.

Kwa watu wa nchi za mbali haya mambo ya kukutana bar/chuo/restaurant/online na kuanzisha biashara inayofanikiwa ni jambo la kawaida sana. Ni wakati muafaka kwa sisi kuunganisha nguvu kuzitumia fursa chungu tele nchini....sio kuchangiana katika harusi tu.....mkuu mkijikita katika kilimo na kuainisha jinsi mnavyotaka kuondoa njaa, kuna mashirika na asasi nyingi zinazotoa funds/grant katika kilimo ikiwa mmjiweka rasmi....ni rahisi sana ku-lobby kama company na sio mtu mmoja mmoja.

Espirit de corps
 
WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA AINA SWARAJ 744, TUTAKODI WOTE MASHAMBA YA KULIMA HAYO MAZAO. GHARAMA ZA KUNUNUWA TRECTA 28MILIONI, MAHINDI NA MBAZI TUNACHANGANYA KWENYE SHAMBA MOJA ALIZETI NA MAHARGE TUNALIMA TOFAUTI Eg Mahindi ekari 300 alizeti ekari 150 na maharge kama ekari 50. BAADA YA KUVUNA TUNAKOBOA SEMBE, KUKAMUWA MAUTA YA ALIZETI SISI WENYEWE, HUKU TUKIWA NA MALENGO YA MUDA MREFU KUWA SIKU MOJA TUTAMILIKI VIWANDA VYA KUSINDIKA MAZAO MBALI MBALI. TUNAWEZA KUSAJILI KIKUNDI OR TUSAJILI LTD CO. YETU . WADAU TUFUNGUKE KUTOA MAWAZO AMBAYO YATABORESHA. NAPATIKANA KUPITIA NAMBA HII 0765616178. (NAFAHAMU MAENEO MAZURI SANA KWA KILIMO NA MAENEO AMBAYO TUNAWEZA KUKODI MASHAMBA KWA URAHISI) TUNAWEZA FANYA FEASIBILITY STUDY YA HAYO MAENEO BEFORE
Sijakuelewa hapo kwenye red.
Kama ni inshu ya mtaji anaweza patikana mtu mwenye pesa ya kutosha na mkajikuta mnakua mtu nne tuu,isipokua mkamiliki kampuni kwa 'HISA'
 
Mkuu ni Topic inayowezekana na inayotia motisha, Binafsi nio interested sana na hii issue, ninalo TRECTOR MF 565 na jembe lake, Disc Harrow, Tine Harrow na Planter tayari.

Pls come up with concrete work plan, i.e. na wapi unatarajia kuwekeza/ tutatarajia kuwekeza, kwani mikoa kama Moro, Dom, Manayara, Iringa Singida, Mtwara, Lindi, Njome yote hii ni maarufukwa mahindi, ufuta, na Alizeti nzuri kwa malengo haya madhubuti. Wapi / Location ya uzalishashi na front ofisi ya kuuzi aiwe wapi?
 
Mkuu ni Topic inayowezekana na inayotia motisha, Binafsi nio interested sana na hii issue, ninalo TRECTOR MF 565 na jembe lake, Disc Harrow, Tine Harrow na Planter tayari. Pls come up with concrete work plan, i.e. na wapi unatarajia kuwekeza/ tutatarajia kuwekeza, kwani mikoa kama Moro, Dom, Manayara, Iringa Singida, Mtwara, Lindi, Njome yote hii ni maarufukwa mahindi, ufuta, na Alizeti nzuri kwa malengo haya madhubuti. Wapi / Location ya uzalishashi na front ofisi ya kuuzi aiwe wapi?
Mkuu mimi niko tayari, ila siatakuwa active lakini nitachangia mtaji- By the way wewe ni mtaalam wa masuala ya kilimo. Mimi ni mtaalam wa masoko na uchumi. Nitatoa mchamngo stahiki
 
mimi pia niko interested na hili wazo ila sitakuwa na muda wa kuwa front line, ila nina trekta Massey ferguson MF 375 lenye jembe, harrow na tipa lake. Naweza kulitoa kwa makubaliano maalumu likapiga kazi
 
mods hebu tusaidieni kukusanya hii sredi pamoja, make kuna comments ziko kule na nyingine ziko huku! sa sijui tuchangie wapi
 
kwanini usilime tu ukaachia hapo kuliko kuanza kusindika tena huoni kama itakuwa shughuli ngumu?

Kwanini msianze kwa kukodi trekta halafu baadae mnunue la kwenu?

Kumiliki trekta ni challenge pia maana watu hawaaminiki ukimuachia dereva utashangaa anaenda kulima mashamba ya wengine hadi majembe yanavunjika!!
 
Tunataka kufanya kitu endelevu kulima pekee yake haotoshi lazima tu add value kwenye hayo mazao yetu eli tupate bei nzuri zaidi sokoni , piya tuwe wajasiriamali ambao wanaweza kufanya vitu endelevu kwa vizazi vijavyo tukiweza tuje kumiliki viwanda vikubwa vya kusindika mazao
 
mawazo mazuri yapo mengi sana tatizo ni nyenzo. hv unadhani watu wangekuwa na uwezo hata wa kukopa wangebaki hapa mjini na kuzunguka na vibahasha? hebu fikiria huo mtaji hapo. ni kijana gani wa kitanzani (graduate) hata yule hajaenda shule anaweza kupata mtaji huo? kwa harakaharaka tu hapo watu wanane angalau kila mtu atoe mil 7 mana hekari hizo ni nyingi sana
 
Dada yangu Kaunga nimeitikia wito,ni idea nzuri sana japo ina changamoto nyingi,ngoja nimtafute mwana Arsenal wilshere nichart nae.I just need real time data kabla ya yote.Agro-business ndio mpango mzima kwa sasa lakini serikali bado haijaweka mazingira mazuri,ikiwemo Masoko,mwaka juzi nililima maharage kule Biharamulo kwa ajili ya kuuza Uganda ambapo kulikuwa na soko na bei zuri sana lakini serikali ikapiga marufuku kuuza nje mazao ya kilimo yakiwemo maharage.Ilibidi niyauze kwa hasara kulekule kwani haikuwa economical kuyasafirisha Dar.

Kwa hiyo kama nilivyosema inahitajika uchambuzi yakinifu kabla ya kutumbukiza hela nyingi kwenye kilimo hasa kilimo cha kutegemea mvua. Ninatoa changamoto pia kama kuna mtu yuko serious kwenye kilimo cha umwagiliaji wa Drip-irrigation hasa kwa mboga mboga kama nyanya,pilipili hoho,vitunguu,biliganya,water melon na matunda kama Miembe ani-PM tubadilishane mawazo,soko la nje na wataalamu wa Drip-irrigation ninaoCC The Boss,Itegamatwi,Sikonge,Kaizer
 
Ok,
Ukiacha cost za trekta, mashamba yanapatikana kwa Cost gani?
What about Mbegu nazo?
 
Je, kwa kilimo cha umwagiliaji wa Drip ninahitaji mtaji wa kiasi gani kwa eneo la ekari 1-2 za mbogamboga?

Je, ni maeneo gani yanafaa kwa kilimo hicho kwa hapa Dar es Salaam?

Naomba msaada kujua haya.
 
Back
Top Bottom