Kwa walio tayari kufanya kilimo cha mahindi, alizeti, mbazi na ufuta

napenda sana biashara za kilimo one ntafanya acha niwasome kwanza
 
WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA AINA SWARAJ 744, TUTAKODI WOTE MASHAMBA YA KULIMA HAYO MAZAO. GHARAMA ZA KUNUNUWA TRECTA 28MILIONI, MAHINDI NA MBAZI TUNACHANGANYA KWENYE SHAMBA MOJA ALIZETI NA MAHARGE TUNALIMA TOFAUTI Eg Mahindi ekari 300 alizeti ekari 150 na maharge kama ekari 50. BAADA YA KUVUNA TUNAKOBOA SEMBE, KUKAMUWA MAUTA YA ALIZETI SISI WENYEWE, HUKU TUKIWA NA MALENGO YA MUDA MREFU KUWA SIKU MOJA TUTAMILIKI VIWANDA VYA KUSINDIKA MAZAO MBALI MBALI. TUNAWEZA KUSAJILI KIKUNDI OR TUSAJILI LTD CO. YETU . WADAU TUFUNGUKE KUTOA MAWAZO AMBAYO YATABORESHA. NAPATIKANA KUPITIA NAMBA HII 0765616178. (NAFAHAMU MAENEO MAZURI SANA KWA KILIMO NA MAENEO AMBAYO TUNAWEZA KUKODI MASHAMBA KWA URAHISI) TUNAWEZA FANYA FEASIBILITY STUDY YA HAYO MAENEO BEFORE

Vp mkuu hao watu umeshawapata? na hiyo project tyari mumeaanza?
 
Wilshere napenda kujua status ya hii project. I am interested.
 
Last edited by a moderator:
hii project ilifanikiwa mkuu Wilshere? Tunaomba mrejesho wa Project mlioianza na sisi tupate changamoto na tuanze kufanya
 
Kwa taarifa zenu wana - jamii forum, huyu jamaa anayejiita Wilshere, ni TAPELI wa kutupa, nikuwa na interest ya kununua mashamba na tulime wote, mashamba yalikuwa ni Rufiji na kwa vile ninayo trector nikamwamini kuwa ni mtu anania njema, imagine nilimtumia 1.5 Milion kwa ajili ya shughuli za mashamba / kilimo!! Guess what happened thereafter!! Aliingia mtini na akabadili namba ya simu na hata huku kwenye forum akawa hajibu kabisa ujumbe.

Pls pls kuweni macho na watu kama hawa. Hata alipokuwa anafanya kazi TANZANIA WOMEN BANK, aliliza watu kama wawili kabla ya kufukuzwa kazi.
 
Hilo shamba la eka 500 kubwa saana, kati ya vitu muhimu vya kutizama katika hilo eneo mtapata shamba mtapata wafanyakazi.

kuna kazi nyingi katika shamba mtatakiwa mtumie watu kuifanya na kingine usalama wa mazao yenu kuna sehemu nyengine watu wanataka mlime wao wavune na mara nyingi wanaoshirikiana na hao wezi ni hao walinzi.

Siku hizi sikama miaka ya nyuma watu wako tayari kufanya kazi katika mashamba na hata kama utapata pesa wanayotaka haiingii akilini.

Mimi siwakatishi tamaa ila nawa tadharisha msije mkajikuta ni bora mungefanya biashara ya kununua mazao na kuyauza au kuyasindika kutoa mafuta.

Maana sasa ukiwa sio mwangalifu unajikuta ni bora ungenunua mahindi kwa wakulima au sokoni kuliko kuyalima.
 
WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA AINA SWARAJ 744, TUTAKODI WOTE MASHAMBA YA KULIMA HAYO MAZAO. GHARAMA ZA KUNUNUWA TRECTA 28MILIONI, MAHINDI NA MBAZI TUNACHANGANYA KWENYE SHAMBA MOJA ALIZETI NA MAHARGE TUNALIMA TOFAUTI Eg Mahindi ekari 300 alizeti ekari 150 na maharge kama ekari 50. BAADA YA KUVUNA TUNAKOBOA SEMBE, KUKAMUWA MAUTA YA ALIZETI SISI WENYEWE, HUKU TUKIWA NA MALENGO YA MUDA MREFU KUWA SIKU MOJA TUTAMILIKI VIWANDA VYA KUSINDIKA MAZAO MBALI MBALI. TUNAWEZA KUSAJILI KIKUNDI OR TUSAJILI LTD CO. YETU . WADAU TUFUNGUKE KUTOA MAWAZO AMBAYO YATABORESHA. NAPATIKANA KUPITIA NAMBA HII 0765616178. (NAFAHAMU MAENEO MAZURI SANA KWA KILIMO NA MAENEO AMBAYO TUNAWEZA KUKODI MASHAMBA KWA URAHISI) TUNAWEZA FANYA FEASIBILITY STUDY YA HAYO MAENEO BEFORE

Leo ndo naiona hii sridi,me mwaka huu nna project ya heka 5 za ufuta huko Lindi.Haya mawazo yalinijia nikiwa Hapa JF baada ya kuwepo kwa mjadala wa kilimo cha UFUTO
 
Kwa taarifa zenu wana - jamii forum, huyu jamaa anayejiita Wilshere, ni TAPELI wa kutupa, nikuwa na interest ya kununua mashamba na tulime wote, mashamba yalikuwa ni Rufiji na kwa vile ninayo trector nikamwamini kuwa ni mtu anania njema, imagine nilimtumia 1.5 Milion kwa ajili ya shughuli za mashamba / kilimo!! Guess what happened thereafter!! Aliingia mtini na akabadili namba ya simu na hata huku kwenye forum akawa hajibu kabisa ujumbe.

Pls pls kuweni macho na watu kama hawa. Hata alipokuwa anafanya kazi TANZANIA WOMEN BANK, aliliza watu kama wawili kabla ya kufukuzwa kazi.
Eeeeh,kumbe Kalubandka wa KIZAZ KIPYA
 
jamani hapa jf watu wengine ndo kijiwe chao cha kufanya uhalifu. Tutashindwa kusaidiana ifike kipindi tuwe wakweli itakusaidia nini kumtapeli mtu kwa sababu ya haya mambo? Tuache utapeli na tuwe siriasi kwani Ukweli utatuweka huru. Pole sana ndugu yangu Fau2364
 
Mtu analeta jambo zuri kumbe ni mwiz,Afrika yetu hii kazi ipo .
 
Wana- JF, Mkitaka kupata ukweli, baada ya kutapeli hiyo 1.5Mil, akabadili jina la AVATA yake, badala ya kutumia WELSHERE, sasa hivi anatumia "TABU KUISHI"

Namba ya simu aliyokuwa anatumia siku hizo akijiita Welshere ni 0765616178, baada ya kufanya wizi wa kitapeli na wa kitoto na namba ya simu akabadili.

Baada ya kumfuatilia kwa watu wa karibu aliokuwa anafanya kazi nao Bank ya Wanawke, kumbe hata malazi yake alihama.

Pls!!! Naomba muwe macho sana na watu wa namna hii!!! Dunia ya sasa 1.5M itakupeleka wapi kama sio kuendeleza umasilini kwa kutokuaminika na watu!!! Je hiyo pesa anayo hadi sasa?
 
Pole sana Fau2364, mimi simuamini mtu humu mtandaoni sikuhizi.
 
Pole sana Fau!
Humu wapo matapeli pia! Wanaharibu sana jukwaa hili zuri!
 
Back
Top Bottom