Naomba kujua kwa walio agiza bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya Nchi (Free shipping) Decemba 2021 hadi May 2022 mmezipata? mimi naona sijakuwa na bahati nazo; hata sijajua tatizo liko wapi kwani hapo nyuma sijaona tatizo hili
Naomba kujua kwa walio agiza bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya Nchi (Free shipping) Decemba 2021 hadi May 2022 mmezipata? mimi naona sijakuwa na bahati nazo; hata sijajua tatizo liko wapi