Kwa walioagiza bidhaa mwaka huu kutoka nje

Kwa walioagiza bidhaa mwaka huu kutoka nje

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Naomba kujua kwa walio agiza bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya Nchi (Free shipping) Decemba 2021 hadi May 2022 mmezipata? mimi naona sijakuwa na bahati nazo; hata sijajua tatizo liko wapi kwani hapo nyuma sijaona tatizo hili
 
Mtandao gani umeagiza na walikupa tracking number??



Kukuuuu [emoji239][emoji239][emoji239]
 
Nimeagiza mara mbali ndani ya muda uwo uliotaja na mizigo nimeipata.
Moja kikuu, mwengine Aliexpress
 
Back
Top Bottom