Kwa waliochaguliwa sua

Kwa waliochaguliwa sua

zam's son

Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
72
Reaction score
37
karibun sana hapa SUA ila mje kusoma maana hapa kudisco ni kawaida kuliko kuendelea.kwa taarifa tu rais wa chuo mwenyw amedisco so chuo hakina rais.
Alaf naomben mniambie kwa waliopata mkopo mmepata sh ngap kwa mwaka nataka kujua km bum limepanda or not.
 

Attachments

  • sua_logo.jpg
    sua_logo.jpg
    9.6 KB · Views: 366
:target::target::target::target:tunashukuru mkuu tutasoma mi mwenyewe ndakua president mtarajiwa:closed_2::closed_2::smow:😛lane:😛lane:
 
karibun sana hapa SUA
nashukuru kwa kukaribisha wenzako!!
ila mje kusoma maana hapa kudisco ni kawaida kuliko kuendelea
kusoma sio SUA tu ni chuo chochote unaeza disco!!!! na hapo kwenye red..huoni kama unatishia watu??? je hiki kitu ni cha kweli??? na unaposema ni kawaida unamaanisha nini??? au watu wanafelishwa??
kwa taarifa tu rais wa chuo mwenyw amedisco so chuo hakina rais.
kwani rais wa chuo kudisco ni ajabu au yeye sio mtu au mwanafunzi????
Alaf naomben mniambie kwa waliopata mkopo mmepata sh ngap kwa mwaka nataka kujua km bum limepanda or not
hizo ni taarifa tu, na hatuna uhakika kama watapandisha au vipi ila uwezekano upo...
 
:target::target::target::target:tunashukuru mkuu tutasoma mi mwenyewe ndakua president mtarajiwa:closed_2::closed_2::smow:😛lane:😛lane:

haya yangu masikio na macho...ni vema ukajitamburisha mapema ili raia wakufahamu nami napenda kufuatilia mwisho wa ww katika hiyo ndoto yako...
 
Kama umepangwa kwenye orientation programme ya first years nasuggest wakuondoe mapeeeeeeema maana usha create fear Kwa wenzio. Kama Rais wenu alifuata shule hawezi ku disco lakini kama alienda kuonesha umwamba wa siasa, alitakiwa atafute ushauri Kwa watangulizi wake walifanya nn na hawaku disco.
 
kama umepangwa kwenye orientation programme ya first years nasuggest wakuondoe mapeeeeeeema maana usha create fear kwa wenzio. Kama rais wenu alifuata shule hawezi ku disco lakini kama alienda kuonesha umwamba wa siasa, alitakiwa atafute ushauri kwa watangulizi wake walifanya nn na hawaku disco.

hujui unenalo........
 
hujui unenalo........
Inawezekana...Ila kama upo shule hakikisha unasoma na siasa ufanye Kwa umakini sana. Tulikuwepo kwenye University politics tunazijua na tulifanikiwa kumaliza masomo yetu salama salimini. Ni ushauri ukitaka pokea usipopenda achana nao.
 
Back
Top Bottom