zam's son
Member
- Jun 5, 2012
- 72
- 37
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru kwa kukaribisha wenzako!!karibun sana hapa SUA
kusoma sio SUA tu ni chuo chochote unaeza disco!!!! na hapo kwenye red..huoni kama unatishia watu??? je hiki kitu ni cha kweli??? na unaposema ni kawaida unamaanisha nini??? au watu wanafelishwa??ila mje kusoma maana hapa kudisco ni kawaida kuliko kuendelea
kwani rais wa chuo kudisco ni ajabu au yeye sio mtu au mwanafunzi????kwa taarifa tu rais wa chuo mwenyw amedisco so chuo hakina rais.
hizo ni taarifa tu, na hatuna uhakika kama watapandisha au vipi ila uwezekano upo...Alaf naomben mniambie kwa waliopata mkopo mmepata sh ngap kwa mwaka nataka kujua km bum limepanda or not
:target::target::target::target:tunashukuru mkuu tutasoma mi mwenyewe ndakua president mtarajiwa:closed_2::closed_2::smow:😛lane:😛lane:
kama umepangwa kwenye orientation programme ya first years nasuggest wakuondoe mapeeeeeeema maana usha create fear kwa wenzio. Kama rais wenu alifuata shule hawezi ku disco lakini kama alienda kuonesha umwamba wa siasa, alitakiwa atafute ushauri kwa watangulizi wake walifanya nn na hawaku disco.
Inawezekana...Ila kama upo shule hakikisha unasoma na siasa ufanye Kwa umakini sana. Tulikuwepo kwenye University politics tunazijua na tulifanikiwa kumaliza masomo yetu salama salimini. Ni ushauri ukitaka pokea usipopenda achana nao.hujui unenalo........