Kwa waliofanikiwa kutembea, mji upi kati ya ifuatayo ina fursa mbalimbali za biashara?

Kwa waliofanikiwa kutembea, mji upi kati ya ifuatayo ina fursa mbalimbali za biashara?

opondo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
526
Reaction score
1,321
Huu uzi ni kwa ajili ya waliofika na kutembea miji Ifuatayo, je ni mji upi unafaa kwa ajili ya kuishi na kufanya maisha?

Kigoma manispaa, Kilwa-Lindi, Rufiji-Pwani, Chemba-Dodoma, Meru-Arusha kwa waliofika Maeneo hayo je ni mji upi una fursa ya kufanya maisha kwa mtaji wa kuanzia million 10?
 
10ml mbona unafanya business popote mkuu anyway weka wazo lako la kibiashara ndio itakua rahisi watu kukushauri..
 
Dah sijui uko kwingine ila Kilwa hapana aisee. Pale waachie wazawa wa pale pale, Mwenyeji hapana.
Shukrani sana. Japo nafikiria familia kuwepo dar huku Mimi nafanya kazi huko
 
Pwani ya upande wa bagamoyo _______ msata,kiwangwa,fukayosi hapo kilomo tu.
 
Pwani msata,tafuta eneo ambalo unaweza kuweka Pombe mixer,na za kienyeji pia.
Weka na banda la mpira.
Isiwe mbali na stendi.
Weka na mabinti kadhaa.
 
Hawafai wale jamaa. Hawataki mwenyeji ufanye maendeleo.
Sasa huyu mwenyeji kwani?!!! Mi nilifikiri ni mgeni anayetaka kuitafuta fursa.

Kuhusu kilwa mtoa mada peleka biashara ya chakula kule....mchele unapendwa pwani si mchezo
 
Kwa Meru hiyo hela ni ndogo ile wilaya ni urbanized and expensive na watu wa kule wataalam wa fursa sidhan kama una kuja na mpya unless unaenda kununua ndizi na karoti
 
Back
Top Bottom