Kuna ndumba sana?Dah sijui uko kwingine ila Kilwa hapana aisee. Pale waachie wazawa wa pale pale, Mwenyeji hapana.
Hawafai wale jamaa. Hawataki mwenyeji ufanye maendeleo.Kuna ndumba sana?
Sasa huyu mwenyeji kwani?!!! Mi nilifikiri ni mgeni anayetaka kuitafuta fursa.Hawafai wale jamaa. Hawataki mwenyeji ufanye maendeleo.