Mshobaa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,714
- 677
Heko kwako mdau, nilikua naomba kwa anayejua proses nzima kwa liyefaulu kuendelea na kidato cha tano ni hatua zipi zinafanyika jee kuna barua yeyote labda mhusika huletewa ili kujulishwa shule atakayopangiwa? Ama kuna sehemu yeyote ya kwenda kupata maelekezo zaidi? Kwa wenye uelewa juu ya hili suala naomba jibu tafadhali