Huyu Passion Lady anajua fika nikikamatwa atakufa kwa presha....acha achangamshe jamvi...
Biashara gani unafanya hii? Utaniudhi ujue....
Ni ya kweli haya my akanana Passion Lady? Am dying of jelous!
Pale pale nilipokutana na Passion Lady wanguHivi Mamndenyi ulimuacha wapi?
Biashara gani unafanya hii? Utaniudhi ujue....
Anazidi kuwa handsome kaka yangu lol.
Unamtunz kweli, loya....nakupa big up wifi.....
Pole sana my akanana! I can smile something here! Any way wanafanya ni kupende zaidi! Get smileee!
Mie sio fundi cherehani.....ni fundi nanihiii....
Ngoja niongee na my Ruttashobolwa naimani atanielewa!Wifi my husband wangu akikamatwa afu mimi nitapata wapi......mwacheni bhana
Dada KOKUTONA hebu mkanye shem naona anataka kutugombnisha si bure!
Pale pale nilipokutana na Passion Lady wangu
Very serious indeed.....
fundi nguo yangu leo naitaka coz navaa kesho
kwenye sendoff ya shoga angu!we jishaue huku badala ushone!
Asante my beibe!walijigonga na kujipitisha mimi akhaaa!
Ni kweli wengi walijipitisha na wakakutana na ukuta wangu.....
Dada KOKUTONA hebu mkanye shem naona anataka kutugombnisha si bure!
Hata ww ulikua unajipitisha tu!usinitaftie kesi mie!