Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Na kweli....sijakusahau mpaka kesho....
Hivi kwanini uliondoka jaman
akhuuu!sijawai kuolewa mie hebu usinichurie!
Na kweli....sijakusahau mpaka kesho....
Hivi kwanini uliondoka jaman
Na mkeo au?we kweli noma
akhuuu!sijawai kuolewa mie hebu usinichurie!
Talaka sipewi hata useme nini
napendwa mie
No No....
Mapenzi ya kweli hayahitaji kumuendea popoteee. Nampenda sana, sitaki kabisa kumuendea popotee
Mie nilikuchumbia kabisa....acha ukimbie
Thubutuuuuu!
Unapenda vya watu,tulia na wako
Huu mzuka wajua wewe unautuliza bila shaka......
shindwaaaaa!
Utanyang'anywa ukiwa unashuhudia,nimekushauri tu kama wifi,haya!
hahahaaa!sipatikaniki!