KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
- Thread starter
- #281
Ok dada ! Kama vipi mfunge kamba
Nita mfanya awe teja wa mapenzi, like this....
Lady Jay Dee - Teja - YouTube
Ok dada ! Kama vipi mfunge kamba
Pole yao kwakweli!
Nipo mpenzi. Nimejipumzisha tu . . . . vipi mzima lakini?Upo mdada? Wewe potea sana bhana.
hahah. Ntakugea ubaki nao mwaya!Mzimaa....usifanye hivyo, tunamiss utamu wa pipi lol
Hujambo bi dadaa......
hivi mapenzi haya ya siku hizi unayaonaje?Unamdanganya, akishakupa soup unasepa unamuacha kwenye mataa....nakujua janja yako..
si huyu Vin Diesel anazingua watu,siui awekwe selo kwa mudaHapa kuna nini?
Umeona eee. Hii ndo dawa itakayommaliza. Nitakuwa namfunga mnyororo natembea naye teja wangu
Anajua hilo sweetie!
unajua kupenda looo!Mapenzi ya dawa hayadumu, mapenzi ya roho ni yamaisha.
Nimempenda na yeye amekubali, yatosha sana.
Hapa kuna nini?
sijambo nimepoa ubavuni mwake!