Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Talizungumza kaka, he will understand and leave her alone, si ndio my husband wangu Vin Diesel.
Nimechoka kukanwa....ngoja nika quote ushahidi....subiri hapa hapa tumalize kesi
Talizungumza kaka, he will understand and leave her alone, si ndio my husband wangu Vin Diesel.
Na KOKUTONA umuite aje ajionee!
Huyu my husbnd wako bado ananisumbua,mtaftie limbwata atulie na ww wifi yangu!
Akiona ulivyoniandikia atazirai.....una maneno matamu matamu sana yaani unaweza lumangia ugali
Utajiju!maneno matamu akupe mkeo c mm!
Akuuu babu nitue!
Sasa kwanini unipe nyama ya ulimi na leo uanze kuruka kimanga
T wll never hapen,kumbe unawavutiaga gizani!huhuuuuyaaaa!Haya sogea huku gizani
Unanikwaza,mi sijui loya akiona maneno yako atachukua uamuzi gani
we haribu tu!
T wll never hapen,kumbe unawavutiaga gizani!huhuuuuyaaaa!
Akikuacha nitakupa pumziko....kwangu nafasi ipo
Mi kuachwa ni ngumu,we hujishangai unavyoniganda?
Huyu tumuendee bwagamoyo kumtuliza!
c harusi zisizo na ushahidi!