Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Unajua na mvumilia Vin Diesel kwa sababu na mheshimu dada KOKUTONA lasivyo ninge shamkata.............. Kabisa!
Unajua na mvumilia Vin Diesel kwa sababu na mheshimu dada KOKUTONA lasivyo ninge shamkata.............. Kabisa!
we Vin Diesel umekubali kufungwa minyororo?
Mwongo.
Kumbe uajipendekezaga mwenyewe, afu akikutongo.....unakimbilia kwa kaka. Unaona wivu nikimfunga minyororo ya mapenzi?
Kama wa kiume mwambie mi sijaolewa!Have faith ALEIN Mungu atakupa haja ya moyo wako.
Teja la mapenzi siyo bange bhana.
Nani kafumaniwa?