Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Sasa je,bata nazozipata kwa loya lazima niridhike tu!
Kwangu ulipata taabu?
Tuliachana ili utimize masharti ya mganga kuwa uolewe na nshomile
No, hujanikwaza mpenzi, nimekuwa speechless kwa swaga za Bishanga, sikujua mhaya huyu amkuwa mtaalam wa haya mambo lol
Sio kweli! !!!!!Hahahaaa!sio uongo ndio ukweli wenyewe bna!na mtaani ndio wananiita shotiii chibonge!ukute umenisahau!
Arushaone ungekuwa unanipenda ungemwacha Blaki Womani na kunifanya mimi mke halali.....
Vin Diesel?Dedication to ..........!
Anajijua hata nisipomtaja!!!
Dedication to ..........!
Anajijua hata nisipomtaja!!!
Of kozi najijua charminglady ila sitaki wengine wanijue!