Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Nae anakusalim,usijali nitakucheki kwa cm ya kiganjani
nikupe special invitation au wataka kadi kabisa!
My dear....bado nasubiri kile kipimo eti.....
Nae anakusalim,usijali nitakucheki kwa cm ya kiganjani
nikupe special invitation au wataka kadi kabisa!
Huyo mdoli ndo ana maana gani?
neno hilo.
My dear....bado nasubiri kile kipimo eti.....
Hv vile vya mafundi cherehani havifai kujipima?
mi hata sijui napimaje nipate jibu sahihi
Sasa angalia hawa raia wasijeanza leta maneno....naomba tuhamie chumbani
Bora maana akija shemeji yangu na ndevu zake ataanza!
Huyo mdoli ndo ana maana gani?
Na asikuzoweeeee swthrtMbona huniachi nikapumuaaaa.......! Hebu nipe space nipumue lol
Usijali mama wa mwanangu!Namshangaa ujue baba JR, ananibana hadi nakosa punzi humu...
Anashindwa kusema anachotaka anajizunguusha. Honey mwambie asinighasi tutampoteza.
Na asikuzoweeeee swthrt
Usijali mama wa mwanangu!
Huyu dawa yake kumtwanga Li WOWOWO la ukweli yan la ukweli hadi ashindwe kutoka ndani coz nimegundua Busha wanadai washalizoea heheheheee
Ushawahi kuona mwanaume ana Masaburi Kilo hamsini?
Kwikwikwikwiiii ni balaaa
Copy kwa Baba V