Of kozi najijua charminglady ila sitaki wengine wanijue!
Kama hajaja hadi saa hizi umeibiwa/umedanganywa...lol
Utapigwa na baridi buure, njoo thisi side upate joto.
Baba V amekuwa cheap namna hiyo!!? Tutamtoa madarakani!
ruttashobolwa amekutapeli tena ama mkataba umeisha?
Passion Lady ongeza ukubwa wa mameno bhana (size) unatuumiza macho bhanaaaaaWe loya wangu wala utapeli haujui,kasafiri ndio maana nimebaki mkiwa!
Passion Lady ongeza ukubwa wa mameno bhana (size) unatuumiza macho bhanaaaaa
Hapa mwake my wiii.
Sasa yafaidi mwandiko wako lol
Niko pouwa sana.
Nipe mwaliko spesho lol. Nisalinie sana kaka yangu LOYA