Usijali mama wa mwanangu!
Huyu dawa yake kumtwanga Li WOWOWO la ukweli yan la ukweli hadi ashindwe kutoka ndani coz nimegundua Busha wanadai washalizoea heheheheee
Ushawahi kuona mwanaume ana Masaburi Kilo hamsini?
Kwikwikwikwiiii ni balaaa
Copy kwa Baba V
Hv vile vya mafundi cherehani havifai kujipima?
mi hata sijui napimaje nipate jibu sahihi
KOKUTONA ole nshomile!Babu jing unaliwa vyako, angalia hapo juu anachofanya Vin Diesel na huyo koku wako, we kaa hapo na tudevu twako kama sisimizi wanakula sukari
Kama hajaja hadi saa hizi umeibiwa/umedanganywa...lol
Vin Diesel nakuja my love! Foleni imeanzia chalinze yani tabu tupu!
ule usafiri wetu wa siku zote! Farasi!Foleni ya ndege au nyungo
au nikugeuzie kibao wewe? Manake hueleweki ati?
au nikugeuzie kibao wewe? Manake hueleweki ati?
Kanana? umeamua kumwacha mwanasheria?
Sijamuacha loya jamani,huyo ni fundi cherehani nilikua namuulizia jinsi ya kupata vipimo anishonee nguo loool!
We loya wangu wala utapeli haujui,kasafiri ndio maana nimebaki mkiwa!