Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Nakuona ujue... Sio kwa kojo lile mdogo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue sitaki kukumbuka yaan nilikua naota naenda kukojoa kumbe nalimwaga woiiii siku ya siku Mama akaniambia kesho ukikojoa nakubeba na godoro lako nakutoa nje watoto wenzieo wakuimbie kindumbwe halaf tunaenda shule na huko ukaimbiwe toka siku huyo sijakojoa tena unafanya mchezo na kuimbiwa na kindumbwe ndumbwe chaliya
 
Wale wanaokuimba kikojooozi nao unakuta wamekojoa kitandani... Utoto raha sana
 
Aisee.
 
Nilikojoa nikiwa mtoto mpk darasa la sita. Sasa hilo suala linamuathiri vipi sasa hivi mimi nina miaka 40 na sikojoi tena kitandani?
Ni kama sikuelewi vile
Naskia huwa inarudi hiyo hata ukubwani.
 
Hahahaaa
Pole mdogo wangu
 
Ulikua ulilala uchi hata wasione mikojo kwenye nguo ulizovaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…