Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Nakuona ujue... Sio kwa kojo lile mdogo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue sitaki kukumbuka yaan nilikua naota naenda kukojoa kumbe nalimwaga woiiii siku ya siku Mama akaniambia kesho ukikojoa nakubeba na godoro lako nakutoa nje watoto wenzieo wakuimbie kindumbwe halaf tunaenda shule na huko ukaimbiwe toka siku huyo sijakojoa tena unafanya mchezo na kuimbiwa na kindumbwe ndumbwe chaliya
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, mimi mwenyewe nimechezea sana kichapo mpaka darasa la tatu na kutishiwa kufungwa chura kiunoni huku nikikimbizwa mtaani na kuimbiwa wimbo wa kikojozi. ila vikojozi wengi siku wakiharibu kitandani unaambiwa waliota ndoto walisimama wakojoe huku washkaji wakiwa wanamsubiria nadhani huu ndiyo ulikua mtego karibu kwa kila kikojozi, hata mimi ilikuaga hivi hivi yaani unaota unakimbia mara moja kichakani kukojoa huku ukisubiriwa na washkaji kumbe ni mtego.
Wale wanaokuimba kikojooozi nao unakuta wamekojoa kitandani... Utoto raha sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue sitaki kukumbuka yaan nilikua naota naenda kukojoa kumbe nalimwaga woiiii siku ya siku Mama akaniambia kesho ukikojoa nakubeba na godoro lako nakutoa nje watoto wenzieo wakuimbie kindumbwe halaf tunaenda shule na huko ukaimbiwe toka siku huyo sijakojoa tena unafanya mchezo na kuimbiwa na kindumbwe ndumbwe chaliya
Aisee.
 
Nilikojoa nikiwa mtoto mpk darasa la sita. Sasa hilo suala linamuathiri vipi sasa hivi mimi nina miaka 40 na sikojoi tena kitandani?
Ni kama sikuelewi vile
Naskia huwa inarudi hiyo hata ukubwani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue sitaki kukumbuka yaan nilikua naota naenda kukojoa kumbe nalimwaga woiiii siku ya siku Mama akaniambia kesho ukikojoa nakubeba na godoro lako nakutoa nje watoto wenzieo wakuimbie kindumbwe halaf tunaenda shule na huko ukaimbiwe toka siku huyo sijakojoa tena unafanya mchezo na kuimbiwa na kindumbwe ndumbwe chaliya
Hahahaaa
Pole mdogo wangu
 
ha haha me nilikuwa nakojoa mara moja moja halafu namchukua mdogo wangu alikuwa analala sana namsukumizia kwenye mikojo yangu..akiamka analia mama anampiga ila akirudi ananidunda ,,.. tatizo lingine mimi siyo muongeaji kujitetea sana siwezi na kumpiga siwezi ila dawa yake nilikuwa nasubiria niharibu nimsogeze na sijawahi kukamatwa
Ulikua ulilala uchi hata wasione mikojo kwenye nguo ulizovaa?
 
Back
Top Bottom