Asa kwa nini umuambukize mdogo wako kojo??Ha ha babu si kweli
Nimecheka sana mkuu, mpaka nimepariwaSIKU NILIYOMPAGA BABA YANGU MTIHANI MKUBWA YA KUKWEPA AIBU KWA WAKWE
Nilienda kijijini na mzee kwenye msiba upande wa mama, ikabidi nilale nae kitanda kimoja, Si Nikampigia bomba usiku, usiku saa tisa akashtuka, pale ndo kwa mara ya kwanza kumuona mzee akikasirika bila kunipiga, maana akinipiga n msala ugenini, na mimi ilikua ukinigusa tu n mayowe, alibaki anang'ata meno na kusunya, sikupata picha ningekua nyumbani, Mimi wala yeye hatukua na ngua ya kubadili, Asa Mimi si mtoto hilo sio tatzo, kumbuka yeye n kwa Wakwe na hata hajulikani zaid ya babamkwe, akafikiria sana kuna wengne wangemsaidia kwa ku mpa nguo zao ila akahs wasingemtunzia siri. Akajiwa na wazo, nje kulikua kumewashwa moto na watu wengne washalala ikabidi akaote moto zikauke, japo nao ulikua n uamuzi mgumu mtu kama yy na nimgeni umepewa kitanda unakutwa nje unaota moto peke yako usiku? Kwa kibongo bongo hasa kijijini ingetengeneza maswali mengi sana, ilipofika asubuhi akatoka kimya kimya barabarani akaona Boda akaulizia anapoweza nunua nguo , ilibidi asafiri umbali wa zaid ya 30 km kuzifuata dukan hapo mimi ashaniambia ole wangu akirud godoro halijakauka au mtu yeyeto kajua. Bahat nzuri akarud bila mtu yyt kushtukizia ameulamba vizuri na Mimi kanibebea, kwa hasira nakumbuka alifanya kunitupia, Mimi nikabadili akamuita Mother akazifua, kwa bahat hakuna aliyejua ile inshu zaid ya mimi, baba na mama tu, Ile ndo ilikua siku yangu ya mwisho kukojoa. Nina matukio mengi ya ukikojozi ila hilo ndo kubwa, Nilishawahi kukojoa mara mbili vitanda viwili tofaut Yan nimelala na kaka nikakojoa et kukwepa msala nikabadili nguo nikahamia kitanda cha pembeni nako nikapiga bomba. Yani asubuhi nyumba nzima baada ya kichapo wanaishia kucheka , magodoro mawili kaptula mbili mtu mmoja one night.
AiseeSIKU NILIYOMPAGA BABA YANGU MTIHANI MKUBWA YA KUKWEPA AIBU KWA WAKWE
Nilienda kijijini na mzee kwenye msiba upande wa mama, ikabidi nilale nae kitanda kimoja, Si Nikampigia bomba usiku, usiku saa tisa akashtuka, pale ndo kwa mara ya kwanza kumuona mzee akikasirika bila kunipiga, maana akinipiga n msala ugenini, na mimi ilikua ukinigusa tu n mayowe, alibaki anang'ata meno na kusunya, sikupata picha ningekua nyumbani, Mimi wala yeye hatukua na ngua ya kubadili, Asa Mimi si mtoto hilo sio tatzo, kumbuka yeye n kwa Wakwe na hata hajulikani zaid ya babamkwe, akafikiria sana kuna wengne wangemsaidia kwa ku mpa nguo zao ila akahs wasingemtunzia siri. Akajiwa na wazo, nje kulikua kumewashwa moto na watu wengne washalala ikabidi akaote moto zikauke, japo nao ulikua n uamuzi mgumu mtu kama yy na nimgeni umepewa kitanda unakutwa nje unaota moto peke yako usiku? Kwa kibongo bongo hasa kijijini ingetengeneza maswali mengi sana, ilipofika asubuhi akatoka kimya kimya barabarani akaona Boda akaulizia anapoweza nunua nguo , ilibidi asafiri umbali wa zaid ya 30 km kuzifuata dukan hapo mimi ashaniambia ole wangu akirud godoro halijakauka au mtu yeyeto kajua. Bahat nzuri akarud bila mtu yyt kushtukizia ameulamba vizuri na Mimi kanibebea, kwa hasira nakumbuka alifanya kunitupia, Mimi nikabadili akamuita Mother akazifua, kwa bahat hakuna aliyejua ile inshu zaid ya mimi, baba na mama tu, Ile ndo ilikua siku yangu ya mwisho kukojoa. Nina matukio mengi ya ukikojozi ila hilo ndo kubwa, Nilishawahi kukojoa mara mbili vitanda viwili tofaut Yan nimelala na kaka nikakojoa et kukwepa msala nikabadili nguo nikahamia kitanda cha pembeni nako nikapiga bomba. Yani asubuhi nyumba nzima baada ya kichapo wanaishia kucheka , magodoro mawili kaptula mbili mtu mmoja one night
Duh we kiboko wa wote...SIKU NILIYOMPAGA BABA YANGU MTIHANI MKUBWA YA KUKWEPA AIBU KWA WAKWE
Nilienda kijijini na mzee kwenye msiba upande wa mama, ikabidi nilale nae kitanda kimoja, Si Nikampigia bomba usiku, usiku saa tisa akashtuka, pale ndo kwa mara ya kwanza kumuona mzee akikasirika bila kunipiga, maana akinipiga n msala ugenini, na mimi ilikua ukinigusa tu n mayowe, alibaki anang'ata meno na kusunya, sikupata picha ningekua nyumbani, Mimi wala yeye hatukua na ngua ya kubadili, Asa Mimi si mtoto hilo sio tatzo, kumbuka yeye n kwa Wakwe na hata hajulikani zaid ya babamkwe, akafikiria sana kuna wengne wangemsaidia kwa ku mpa nguo zao ila akahs wasingemtunzia siri. Akajiwa na wazo, nje kulikua kumewashwa moto na watu wengne washalala ikabidi akaote moto zikauke, japo nao ulikua n uamuzi mgumu mtu kama yy na nimgeni umepewa kitanda unakutwa nje unaota moto peke yako usiku? Kwa kibongo bongo hasa kijijini ingetengeneza maswali mengi sana, ilipofika asubuhi akatoka kimya kimya barabarani akaona Boda akaulizia anapoweza nunua nguo , ilibidi asafiri umbali wa zaid ya 30 km kuzifuata dukan hapo mimi ashaniambia ole wangu akirud godoro halijakauka au mtu yeyeto kajua. Bahat nzuri akarud bila mtu yyt kushtukizia ameulamba vizuri na Mimi kanibebea, kwa hasira nakumbuka alifanya kunitupia, Mimi nikabadili akamuita Mother akazifua, kwa bahat hakuna aliyejua ile inshu zaid ya mimi, baba na mama tu, Ile ndo ilikua siku yangu ya mwisho kukojoa. Nina matukio mengi ya ukikojozi ila hilo ndo kubwa, Nilishawahi kukojoa mara mbili vitanda viwili tofaut Yan nimelala na kaka nikakojoa et kukwepa msala nikabadili nguo nikahamia kitanda cha pembeni nako nikapiga bomba. Yani asubuhi nyumba nzima baada ya kichapo wanaishia kucheka , magodoro mawili kaptula mbili mtu mmoja one night.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]SIKU NILIYOMPAGA BABA YANGU MTIHANI MKUBWA YA KUKWEPA AIBU KWA WAKWE

Ni michezo mingi Mchana Usiku lazima uoteKinachinishangaza kwanini ilikuwa lazima tuote? Yaani kama sio mgonjwa lazima uote unakojoa tu ukojoe kitandani. Watoto wote kesi hio hio unaota.
Nafikiri kizazi chetu hatutawachapa hovyo watoto wakikojoa kwasababu tunaelewa kinachowasibu.
Malamaaaee Umetisher inabidi tukupe vyeo vyote vya ukikojoziSIKU NILIYOMPAGA BABA YANGU MTIHANI MKUBWA YA KUKWEPA AIBU KWA WAKWE
Nilienda kijijini na mzee kwenye msiba upande wa mama, ikabidi nilale nae kitanda kimoja, Si Nikampigia bomba usiku, usiku saa tisa akashtuka, pale ndo kwa mara ya kwanza kumuona mzee akikasirika bila kunipiga, maana akinipiga n msala ugenini, na mimi ilikua ukinigusa tu n mayowe, alibaki anang'ata meno na kusunya, sikupata picha ningekua nyumbani, Mimi wala yeye hatukua na ngua ya kubadili, Asa Mimi si mtoto hilo sio tatzo, kumbuka yeye n kwa Wakwe na hata hajulikani zaid ya babamkwe, akafikiria sana kuna wengne wangemsaidia kwa ku mpa nguo zao ila akahs wasingemtunzia siri. Akajiwa na wazo, nje kulikua kumewashwa moto na watu wengne washalala ikabidi akaote moto zikauke, japo nao ulikua n uamuzi mgumu mtu kama yy na nimgeni umepewa kitanda unakutwa nje unaota moto peke yako usiku? Kwa kibongo bongo hasa kijijini ingetengeneza maswali mengi sana, ilipofika asubuhi akatoka kimya kimya barabarani akaona Boda akaulizia anapoweza nunua nguo , ilibidi asafiri umbali wa zaid ya 30 km kuzifuata dukan hapo mimi ashaniambia ole wangu akirud godoro halijakauka au mtu yeyeto kajua. Bahat nzuri akarud bila mtu yyt kushtukizia ameulamba vizuri na Mimi kanibebea, kwa hasira nakumbuka alifanya kunitupia, Mimi nikabadili akamuita Mother akazifua, kwa bahat hakuna aliyejua ile inshu zaid ya mimi, baba na mama tu, Ile ndo ilikua siku yangu ya mwisho kukojoa. Nina matukio mengi ya ukikojozi ila hilo ndo kubwa, Nilishawahi kukojoa mara mbili vitanda viwili tofaut Yan nimelala na kaka nikakojoa et kukwepa msala nikabadili nguo nikahamia kitanda cha pembeni nako nikapiga bomba. Yani asubuhi nyumba nzima baada ya kichapo wanaishia kucheka , magodoro mawili kaptula mbili mtu mmoja one night.
Uzi huu umenichekesha mno!kusoma nyuzi kama hizi usiku unaweza ukashangaa na ukubwa huu unaamka asubuhi ushaharibu
back in days,Uzi huu umenichekesha mno!
[emoji1] [emoji1] [emoji23]Ubaya wa kulimwaga.ni kuambiwa toa godoro nje likakauke.
Alafu nje kuna kademu unakapenda kinoma.na mother kakomaa ulitoe muda huo huo.
My brother unaweza ukazimia.
Aiseee noma,kukjoa ktandan hakukuwai kumuacha mtu salama. mi nlkjoa ugenini nlpstuka ckjua ni saa ngap ila ckulal tena mpk asubuhi nltamn kua mchawi ili niukaushe mkojo kichawi.[emoji56][emoji56]