Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Mi nakojoa mpaka leo nikilitwika gongo langu nikiludi home kulala lazima limwagike tu hakuna namna nashukuru kwa kua nko mwenyewe tu ningekua na ndugu zang dah aibu
 
We kweli kizibo
 
Na kumbuka mwezi mtukufu nilikuwa nikipiwa maji ya kunywa na kunyimwa uju na juisi ili nisikojoe kitandani
 
mi nimesoma na mtu five na six moshi tech alikuwa anajikojolea mpaka tunamaliza shule
 
Aiseee mnatufanya tuonekaa machizi kwenye madaladala. Nimejikuta nacheka kwa nguvu
 
Mkuu si useme tu ni wewe??? Maana hebu tuambie ulijuaje kama alikuwa anasikia raha?? Ulijuaje kama alikuwa anasikia umotomoto??... Ulijuaje kama usingizi ulimpitia akaanza kuota kuwa yuko chooni anajisaidia???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umenichekesha sana na hiyo mande ya mkojo...
 
Mama unacheka tu, hebu tupe experience yako.

MBITIYAZA na Nalendwa msijifanye hamkukojoa kitandani, hebu mkuje.

Haha!, ki ukweli mara zote nilizokuwa naota hivyo ile nikianza tu nilikuwa nashtuka usingizini, halafu najishtukia niliangalia najikuta salama...lol!
Lakini naona kwa vile nilikuwa mkubwa mkubwa wakati wa hizo ndoto..
 
Kwahiyo hiyo picha umeweka hapo ndicho kinachotumika kukojoa pekeake hamna kingine au uliamua tu kuzalilisha
 
[emoji1] [emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…