Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Kawaida yake, mbwa ukimjua jina hakusumbi.
Aisee binti unanini na mimi ?

Si mara moja si mara mbili nakuona nikipishana kauli kidogo na watu unakuja mbio mbio kutema shombo zako.

Aisee tusizoeane hivyo kwa kweli.
 
Kwani madume ndio walikojoa tu, mbona picha moja hapo ya me, ke siion?
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] ndio manini tena haya we na babu yako mnawekeana
Huyo ni aina ya nyoka anapatikana Brazil
adfcbcc8ecfb6f1b5eab1f54ac4bbacc.jpg
 
Mkuu Shunie,

Ni kweli kila mtu amepitia hiyo hali ,lakini kitaalamu zaidi mwisho wa kukojoa inabidi iwe miaka miwili ikizidi sana mitatu ,sasa kama mpaka unaanza shule na bado unajikojolea aisee ni suala la ajabu sana.

Hapo kwa vyovyote lazima mara moja moja utakuwa unalimwaga kojo tu iwe isiwe.
Miaka miwili? Kweli unamaanisha mtoto akifikisha miaka miwili anaacha kujikojolea? Hivi pampers mwisho miaka mingapi na kwanini?

Kwa kukufahamisha kujikojolea usingizini kwa watoto mara nyingi inasababishwa na uchovu, unalala hoi sana. Huoni kila mtu kisa chake ni ndoto?
 
Miaka miwili? Kweli unamaanisha mtoto akifikisha miaka miwili anaacha kujikojolea? Hivi pampers mwisho miaka mingapi na kwanini?

Kwa kukufahamisha kujikojolea usingizini kwa watoto mara nyingi inasababishwa na uchovu, unalala hoi sana. Huoni kila mtu kisa chake ni ndoto?
Binti yangu wa kwanza aliacha kukojoa akiwa na miaka miwili na nusu.
 
daaaaa weee jamaa umenikumbusha mbali nakumbuka, Mama alinikuwa ananichapa sana mara kila siku ilikuwa ni lazima niumwage wa kutosha, sasa siku moja mama akaniambia nikikojoa navalishwa manguo na kuimbiwa kindumbwe ndumbwe, usiku huo si nikalimwaga kama saa tisa hivi nikashtuka eebwana nilihangaika usiku kucha nikiwaza kitakachonikuta asubuhi. ilipofika asubuhi nikavalishwa manguo yaliyochakaa, namshukuru marehemu bibi yangu alikuja akamgombesha sana mama kwa tabia hiyo, yaani nilipata tabu sana maana sikuacha mpaka nilipofika darasa la nne nakumbuka ndoo nikawa nakojoa mara moja moja
 
Back
Top Bottom