Kwa waliokosa mkopo

Kuna watu wa me chaguliwa koz za non priority na wamepata mkopo na wengn wamechaguliwa koz za priority hawana. mm sijaelewa bado labda mkopo ni bahati tu.

mimi coz yangu non priority na kuna wtu was priority nmewazid percent.. mkopo ni Bahat mkuu
 
 

ila na nyie fresh mnajisahau mno hadi wazazi mnawapiga vizinga tena sio wewe lakin wenye tabia kama hii waache
 
Moja ya viongoz wa loan board amehojiwa kwann wanafunzi wengi mwaka huu wamekosa mkopo?
Akajibu kuwa wengi wao wamesomea shule za private zenye ada kubwa hivyo wazaz wao wanaweza kuwalipia ada na mahitaji mengine pindi wawapo chuon.Bora pesa iliyopo tuwapatie ambao wana uwezo wa chini kabisa.
MWISHO WA KUNUKUU
 
Na Wangesoma Government Wangefeli...Wacha wa Sie wa St.Kayumba Tule Pesa Yetu.
 
Namuunga mkono, mzazi aliyelipa Ada milioni tatu sekondari hastahili hata kujaza form ya kuomba mkopo. Nakumbuka yule mtoto wa Kikwete alikuwa anasoma muhimbili alipata mkopo asilimia mia
 
Namuunga mkono, mzazi aliyelipa Ada milioni tatu sekondari hastahili hata kujaza form ya kuomba mkopo. Nakumbuka yule mtoto wa Kikwete alikuwa anasoma muhimbili alipata mkopo asilimia mia

Mmhhh! Hyo ela itakuwa alikuwa anaitumia kwa ajili ya kununulia mafuta ya gar tu.
 
wapo wengi wamesoma kata wamefaulu vizur kozi waloomba ni priority na wamekosa
 
Mimi nimesoma St. KAYUMBA Course niliyochaguliwa ni priority Bsc Education ila nimenyimwa mkopo.
 
mimi coz yangu non priority na kuna wtu was priority nmewazid percent.. mkopo ni Bahat mkuu

priority ni kigezo ila ili kubalance huwezi wanyima wote Wa non priority but waliopata wengi ni wale wa priority.
 
 
Habari wakuu...!
Bodi ya mikopo imeendelea kujipambanua kwa kuonyesha kuwa haipo kwaajili ya kuwasaidia wale wasio na uwezo wa kujisomesha.Kwani wengi waliokosa mikopo ni watoto wa walala hoi,waliosoma shule za kata.Pia imewatenga yatima wakati walitegemea kupata ukombozi kutoka kwao.Hii inathibitisha kuwa watoto wa masikini na yatima hawastahili kupata elimu ya juu.
 
Mimi sisemi mkuu, hii ni zaidi ya ugaidi, ujangili na unyang'anyi, tumebaki kama samaki machozi yake hayaonekani yote yanaenda na maji, hata alie kutwa nzima! duuuuh! tanzania kiboko!
 
Poleni vijana katika hili wanasiasa wote wapo kimya just because suala hili haliwahusu.
 
Yaan am an orphan sina baba wala mama nimeomba mkopo hii mara ya pili nimenyimwa sijui vigezo vyakupata mkopo ni nin ,seariously am hurting...am staying with my aunt anasomesha watu wa nne wote vyuo vikuu...hii ni fair kwel nime wapa 60000....na12000,yakutumia hii sikutuibia....kama vipi wawe wana list watu wao wanaotakiwa kuomba nakupewa mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…