Kwa waliokosa mkopo

Kwa waliokosa mkopo

Hiv mkuu unaapeal ili iweje wakati serikali imeshasema itatoa mkopo kwa wanafunzi elf 30 tu,utapoteza muda wako na pesa bule watu elf 28 sio wengine ni wewe mmojawapo ambao mmeachwa,

tumesahau vigezo na mashart.
 
Hiv mkuu unaapeal ili iweje wakati serikali imeshasema itatoa mkopo kwa wanafunzi elf 30 tu,utapoteza muda wako na pesa bule watu elf 28 sio wengine ni wewe mmojawapo ambao mmeachwa,
udom bado,ila kujua mapema prcedur
 
Ndugu wahanga wa mkopo! kwenye kipengele kimoja kuhusu ku" appeal lazima maombi yako yapitie chuo(ulichadahiliwa),alafu hiyo kitu nahisi ni kwa ambao hawaridhika na asilimia alizopewa na si kwa ALIYEKOSA,jiulize kwa vigezo vya direct cost na fee 60% ujadahiliwa,pia we ni masikini,ujapewa mkopo utawezaje ku appeal? embu ingia Higher Education Students' Loans Board -HESLB uone jinsi ya kufanya appeal utatamani ku jam ila no way out,mi nasubiri non priority yangu udom nicomfirm kama mkono mtupu haulambwi.
 
Tanzania kweli bado. Yaani mambo ya muhimu kama haya ya kupata mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya Juu wenye vigezo badala kupewa kipaumbele kwa kutenga fungu kubwa zaidi, ikiwa ni hata kwa kuomba msaada wafadhili kutoka nje wawasaidie, serikali wao wanaelekeza nguvu yao katika mambo mengine yasiyo hata na tija kubwa kwa taifa., mfano.safari za mheshimiwa nje ya nchi akisindikizwa na timu yake ya watu wapatao 60 hivi.

Sina hakika mpaka sasa safari zake za nje zimefikia ngapi na zimegharimu kiasi gani cha mapesa ya walipakodi. Kama mtakumbuka vizuri gazeti la M.wa.na.ha.li.si miaka minne iliyopita lilishawahi kuanika uozo huu.
Kwa kukumbushia kidogo,Kwa viwango vya serikali, watu wanaosafiri kwenye msafara wa rais hulipwa kiasi cha kati ya dola 350 na 500 (Sh. 600,000 kwa siku). Sasa zidisha mara jumla ya idadi yao: halafu zidisha na siku wanazokaa huko nje: gharama za hoteli na usafiri:na jumla ya safari zote: HAKIKA UTACHOKA.
 
Sasa ndio ishatokea,

Tunafanyaje?

Tujitokeze kujiandikisha kwa wingi na tupige kura upinzani tuweke wabunge wa kutosha bungeni,upuuzi kama huu usiwe unapita kizembe kizembe
 
Sasa ndio ishatokea,

Tunafanyaje?

Tujitokeze kujiandikisha kwa wingi na tupige kura upinzani tuweke wabunge wa kutosha bungeni,upuuzi kama huu usiwe unapita kizembe kizembe

Hata watakao ingia hakuna atakaye badiri hio kitu ndo mfumo uliopo....kiongozi wakukumbuka wananchi bado hajazaliwa kila mmoja anakuja kwa manufaa yakee...imagine tangu azaliwe hajawahi panda ndege je akiingia madarakani kwann asifanye hivyooooi.....
 
Nyie danganyweni eti no mfumo mtabaki hvohvo
Hapo no swala la kuangalia uzito Wa jambo kwani pesa ya kununua mabomba toka mtwara imetoka wapi

UKISHINDWA KUJIANDAA JIANDAE KUSHINDWA
 
Nyie danganyweni eti no mfumo mtabaki hvohvo
Hapo no swala la kuangalia uzito Wa jambo kwani pesa ya kununua mabomba toka mtwara imetoka wapi

UKISHINDWA KUJIANDAA JIANDAE KUSHINDWA

Duuh we jamaa ni mkali ila angalia kauli zako zisikupeleke pabaya. Ukishindwa kupanga, umepanga kushindwa. [Quoted]
 
Wengi walio kosa mkopo ni watoto wa wa kulima na kumbuka kila mwanafunzi alilipa non refundable 30000 ukizidisha na walio kosa mkopo tayari ni mtaji wa kunepesha staff wa board
 
mm mwenyewe chali jamani, ni mara ya pili sasa nakosa mkopo education.
 
hiv sasa ni kipaumbele gani wanachopewa fulcuty ya edctn, hata 50%jamani, mbaya zaidi gud perfomance, female in gender, orphanage, gvt schools, je nifanyeje, just ushauri mkuu it's twice now, daah tanzania ni kiboko
 
inanilazimu nicorrespond mwaka wa pili sasa home, daaaah serikali inatuua sisi masikini!
 
Sirikali ya ccm senge Kweli mambo gani sasa mwAkani watatujua Sisi Ni kina nani
 
Hata watakao ingia hakuna atakaye badiri hio kitu ndo mfumo uliopo....kiongozi wakukumbuka wananchi bado hajazaliwa kila mmoja anakuja kwa manufaa yakee...imagine tangu azaliwe hajawahi panda ndege je akiingia madarakani kwann asifanye hivyooooi.....

Sasa kama hivyo ndivyo hakuna haja ya kukaa hapa na kulalamika
Tuwashauri wadogo zetu wasome sana ,na wasome michepuo itakayowapelekea kusoma course ambazo ni hot cake kwa sasa
 
Back
Top Bottom