Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv mkuu unaapeal ili iweje wakati serikali imeshasema itatoa mkopo kwa wanafunzi elf 30 tu,utapoteza muda wako na pesa bule watu elf 28 sio wengine ni wewe mmojawapo ambao mmeachwa,
Yan acha tu..
udom bado,ila kujua mapema prcedurHiv mkuu unaapeal ili iweje wakati serikali imeshasema itatoa mkopo kwa wanafunzi elf 30 tu,utapoteza muda wako na pesa bule watu elf 28 sio wengine ni wewe mmojawapo ambao mmeachwa,
Sasa ndio ishatokea,
Tunafanyaje?
Tujitokeze kujiandikisha kwa wingi na tupige kura upinzani tuweke wabunge wa kutosha bungeni,upuuzi kama huu usiwe unapita kizembe kizembe
Nyie danganyweni eti no mfumo mtabaki hvohvo
Hapo no swala la kuangalia uzito Wa jambo kwani pesa ya kununua mabomba toka mtwara imetoka wapi
UKISHINDWA KUJIANDAA JIANDAE KUSHINDWA
inanilazimu nicorrespond mwaka wa pili sasa home, daaaah serikali inatuua sisi masikini!
Hata watakao ingia hakuna atakaye badiri hio kitu ndo mfumo uliopo....kiongozi wakukumbuka wananchi bado hajazaliwa kila mmoja anakuja kwa manufaa yakee...imagine tangu azaliwe hajawahi panda ndege je akiingia madarakani kwann asifanye hivyooooi.....