Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

[emoji849][emoji20][emoji20]Kwahio hawapaswi kuwa na familia?,nani wa kuwazalisha kwama sio nyie wanaume?
Dada Nakubusu sio kuwa hawatakiwi kuzalishwa ila hata ungekuwa wewe ukimzalisha ukweli ni kuwa utakuwa umeingia cha kike .

Haukuwahi kukuta mtu kamzalisha binti mbaya anaona aibu kumtambulisha mtu na mtoto wake ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka rafiki yangu mmoja yeye alipangiwa mzumbe alisoma mwezi mmoja tu akarudi Dsm akamalizia azania, nilipo muuliza vipi mbona umekimbia akasema wewe wacha tu ile siyo shule ni kufuru.
 
Mkuu kwani watu wanakukimbiza mwanzo mwisho hawapoi
 
Hakuna elimu rahisi kama ya chuo mkuu, mtu aliyepiga 1 kipindi chetu hawezi kushindwa na viswali vya MT hapo chuo
 
Acha uongo mkuu, kuna mwamba anaitwa JAPHET.
Alikua T.O ACSEE 2010 Ilboru, na T.O CSEE 2007 Arusha day.
Nafikiri wamenye au Arusha Day au mtoa mada anaweza thibitisha hili.
Haha ndo huyo nimesoma nae mkuu, alikua na jamaa yake anaitwa shaka wanafatana muda wote, japo shaka hakuingia top 10 ila alipiga one ya tatu safi kabisa.... Japhet ni shida sana.... Jamaa hajawahi kukaa kusoma yeye alikua analetewa maswali tu anasolve
 
Kwa masomo ya arts ni kupoteza muda Ila sayansi hasa PCM siyo level ya kuiruka.
Muhimu sana mbele ya safari huko elimu ya juu. Pia katika maisha ya kawaida ya fundi sanifu au mhandisi.
fundi sanifu siyo lazima awe form 6. Ukiona fundi sanifu ana form six basi huyo alifeli form six. Best Engineers and Technicians ni wale waliopitia Technical Colleges like DIT, Arusha tech, MUST etc.

In short kwa Tanzania form six ni kupoteza muda.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa uongo tupo live udsm coict hapa telecom hata wenye 1-8 tunasoma nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…