Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Kuna jamaa tulisoma nae alipata division 3 ya point nne, jamaa alipiga A ya maths,A chem, B physics alafu Akala umeme(F) ya GS....

Ukipata F Gs automatically unakuwa na division three... Aisee niliangalia matokeo yake kwa uchungu sana... Uzuri chuo hawazingatii huu ujinga akapata kozi Kali tu udsm ila ndo hivo yaani cheti kinakua kimechafuka
 
WE NI MWONGO EI KAPIGA 100% we ndio ulisahihisha mtihani wake, kweli njia ya mwongo fupi. Kwanza Kisimiri siyo ya vipaji maalum
Walitangaza jamaa kavunja rekodi ya hesabu Hio mwaka 2010.... Alafu kama hujasoma ilboru habari za kisimiri huwezi kuzijua.... Kisimiri bila point 4 kwenye combi hunusi pua hapo
 
Sisi kuna mwalimu alikua anaonekana tarehe 22 mpaka 28 akipata mshahara ameenda shule yake ya private yaan alikua anatufundisha sisi kajamba nani halafu yuko private part time !!!!
 
Sisi kuna mwalimu alikua anaonekana tarehe 22 mpaka 28 akipata mshahara ameenda shule yake ya private yaan alikua anatufundisha sisi kajamba nani halafu yuko private part time !!!!
Walimu wengi serikalini advance hawafundishi, afu pia wanafunzi wa advance wengi walikua hawataki kupigwa pindi na walimu..walikua wanaona kama wanapotezewa muda
 
Ww ni mmoja watu waliogeukwa na physics bila shaka!!!
 
Acha uoga dogolasi.
 
walkuja telecom hawa enzi hizo telecom haishikiki na bado japhe aliongoz (first class honours) ila michael shaka alkuw wakawaida sana
 
Babuuu
 
Jamaa ni programmer mzuri sana.
Yuko vyedi kwenye hili soko la software development.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…