Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiji ambacho bangi ni sehemu ya chakula.Mkuu pugu hapo nimewaweka kwa makosa, ila waliosoma ilboru wanajua mziki wa kisimiri... Hiki kishule kilikua Kijijini huko ila miaka yetu for ten consecutive years hawakuwahi kutoka top 10 kitaifa Hawa....
Kwa loning'o?Nazijua sana chief... Hapo umenyeni Mimi nilikua naitwa mmenye maana nilikua na harakati nyingi sana nje ya shule
Nakubaliana na wewe.Tatzo la walimu wa specials schools hawafundishi, wanapiga lecture TU,
Na wako bize na miradi yao mbalimbali mitaani, hawana njaa njaa sana ndo maana uchagua wanafunzi cream.
Kama ulizoea spoon-feeding lazma uteseke
Pugu haijawahi kuwa special.Miaka ya tisini tulikuwa tunazungumzia Mzumbe, Ilboru, Kibaha na Tabora Boys (kwa wavulana), na Kilakala, Tabora girls na Msalato (kwa wasichana). Kumbe wenzetu mkaja kuongezewa na "pugu, kisimiri, and the likes"!!! No wonder bado najiuliza hii kauli ya "Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti..." inamaanisha nyakati zipi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnachekesha sana, aaahNilienda nimechelewa nikakuta hao mabongoland wamesharipoti wameshamaliza topic zote
Nikataniwa niandike electronic configuration Mimi akili yangu nikawa natumia zile za o level 2:8:8 walicheka balaa mambo ya orbitals ,Wala vi theory vya aufbau , Pauling exclusion sijui kama zipo
Majamaa yakawa yanadhusha ma theory ya electro chemistry na ma reaction ya delocalization za benzene na Ortho and para kwenye organic nilitaka kulala mbele nimwbie mshua anipeleke shule za arts
Ko ni Kama channel 😄😂😂
Aisee? Ukute unamsema Shiwa Masunga. Alikuwa anasagisha mashine. Alipataga vijisenti nyingi lakini Kwa kazi yake Ile.Ndio lakini sio miaka uliyotaja, nyuma kidogo...
Waliokuwa wanapata ufaulu hafifu ni wale waliokuwa...
1. Waoga kama wewe
2. Mabitozi na wapenda starehe
3. Wasukuma na Wakurya ambao kuja kwao shule za mjini kuliwafanya wajihusishe na shughuli za kuwaingizia kipato (kukusanya ada), mfano hapo umenyeni kulikuwa na jamaa mpiga picha maarufu alikuwa hadi na baiskeli, anakula deal za kupiga picha shule kibao kuanzia Ngateu, Kiding'a, Enaboishu hadi Akeri huko, mwingine alikuwa anapiga deal za kusaga nafaka kwa wamenye kwenye mashine ya shule n.k...
Aisee? Ukute unamsema Shiwa Masunga. Alikuwa anasagisha mashine. Alipataga vijisenti nyingi lakini Kwa kazi yake Ile.
Daaah.....Losujaki ole Ngavuti....RIP. Kweka....RIP. Hahahahah, Machakura kiboko yao.Ungesoma enzi za walimu kama Losujak aka Chifu R.I.P, Shembilu aka Mwasahili R.I.P, Mgaya aka Machakura R.I.P sidhani kama ungejaribu kuleta utemi...(timeline unayoielezea inaonesha hao waalimu hawakuwepo Ilboru)
FTC nimeiweka kundi la elimu ya high school (advanced Secondary) education.fundi sanifu siyo lazima awe form 6. Ukiona fundi sanifu ana form six basi huyo alifeli form six. Best Engineers and Technicians ni wale waliopitia Technical Colleges like DIT, Arusha tech, MUST etc.
In short kwa Tanzania form six ni kupoteza muda.
Kitambo sana, Mungu hakunyimi vyote..... kukariri ushindwe hadi kuzungusha zungusha tu kishingo ukusanye data nayo nishndwe hapana kwakweli nilipambana. 😀😁Kumbe misukosuko uliianza siku nyingi tu mkuu😀😀
Yes umemuelezea vizuri sana aisee na wala hujakoseaHuyu ndiyo alikua kiboko Sasa alikua mbele yetu Red Label.
Nakumbuka Form two alinyanyua mabanda yote.
Ngozye na ukali wake wote alikua hamchapi huyu asipochomekea na sikumbuki Kama niliwahi kuona kachomekea.
Baada ya paper ya Form two Feza boys walikuja kumchukua wakamsomeshe bure lakini Ngozye (headmaster) aligoma.
Huyu Jamal Juma (babu) tulikua tunamuita babu kwa kua kichwani kwake Kuna mvi za kutosha.
Huyu mwamba alikua anashea yake ya chakula Cha asubuhi, mchana kwenye ofisi ya head Master.
Pepa za mchikichini kwa hidden kachukua sana Zawadi yeye alikua nakwenda kufanya Pepa akisikia Kuna Zawadi tu kachukua sana Zawadi za hidden pale.
Huyu dogo alipiga 1.10 inavyosemekana alikata rufaa kuwa Kuna hujuma hayo siyo matokeo yake Sasa sijui matokeo yake yalikua ni yapi baada ya kukata Rufaa.
Baada ya kumaliza Azania form four Feza boys walimchukua Advanced level mwamba alikwenda Kusimamisha mabanda matatu ya PCM yaani 1.3
Mwamba alipeleka uturuki mpaka Sasa sijui yupo wapi.
CBGMsaada kijana wangu ana Phy-D,Bios-CGeog-C,Chem-C na Maths-D napo probably anaangukia Comb gani A level?
Hiyo D ya Physics hawezi pata comb ya PCB.IPO nami nilibance nikaona hiyo imetiki sasa yeye anadai PCB nikamwambia haiwezekani kwa Sie wahenga A level 90s huko nikashangaa kuwa tcha wake amemwambia possible
Ok mkuuHiyo D ya Physics hawezi pata comb ya PCB.
Sie bhana hatuhusiki, hata tukileta matopic magumu kama phonology, semantics, hawawezi kutuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majamaa yako fiti kila konaMimi nilisoma na majini, mashetani na mapepo wale hawakuwa binadamu aisee yote yalienda muhimbili
Bila shaka hiyo ni Jitegemee SecSijasoma vipaji maalumu ila shule niliyosoma imetoa sana watu maarufu hapa mjini wasanii ,waigizaji,madalali,makuwadi