Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua headboy wangu MKUU nimesoma nae O level na Na advance nimepiga nae yeye alipiga PCM Mimi nilikua napiga EGM tulikua tunakutana kwenye Pure mathematics.Rajabu juma ndegeulaya ,o'level alipiga na additional mathematics aisee alisoma azania na akarudi hapo hapo
Nina washkaji zangu wakali wa mathematics mwaka huo waliondoka na C ,hata ndegeulaya alipiga C ,ule mtihani wa mwaka 2013 ulikuwa wa laana aisee , Tanzania nzima A za advance mathematics zilikuwa 12Alikua headboy wangu MKUU nimesoma nae O level na Na advance nimepiga nae yeye alipiga PCM Mimi nilikua napiga EGM tulikua tunakutana kwenye Pure mathematics.
Azania nilichaguliwa kwenda advance ila sikuendaAlikua headboy wangu MKUU nimesoma nae O level na Na advance nimepiga nae yeye alipiga PCM Mimi nilikua napiga EGM tulikua tunakutana kwenye Pure mathematics.
Kweli MKUUNina washkaji zangu wakali wa mathematics mwaka huo waliondoka na C ,hata ndegeulaya alipiga C ,ule mtihani wa mwaka 2013 ulikuwa wa laana aisee , Tanzania nzima A za advance mathematics zilikuwa 12
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sa ivi Kuna shule nilikuta karibia darasa zima Lina 1.3 pcm na pcb .. nikasema hii sasa ishakua dharauNina washkaji zangu wakali wa mathematics mwaka huo waliondoka na C ,hata ndegeulaya alipiga C ,ule mtihani wa mwaka 2013 ulikuwa wa laana aisee , Tanzania nzima A za advance mathematics zilikuwa 12
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
Haha jamaa umenikumbusha jina mmenye..... Vipi ulipita hapo nikupe 1,2,3 za hapo?Kwa namna ulivyoandika sidhani kama kweli umesoma Kibaha, Mzumbe au Umenyeni Ilboru...(sorry)
Umeandika uzi kwa uoga sana, tabia ambazo waliosoma hizo shule hawakuwa nazo atleast kwa miaka hiyo...
Kuna dogo alikua nyuma yetu mwaka mmoja walikua wanamuita CNN, kuja kuulizia kwanini naambiwa jamaa anapumzika mchana, usiku hajawahi kulala 😃Siku Moja nilienda kibaha kujisomea maana nilikua na mshikaji pale, aisee saa 5 naenda kulala watu wananishangaa, nikasema hii elimu siyo mateso,
Kuna watu walienda shule kusomea kijiji...yani kuna dada namkumbuka alikua anasoma mpk akapinda mgongo kila ukikutana nae yuko speed..kula anakula kama anafukuzwa awahi kusoma..siku hizi ni daktari wa macho...Siku Moja nilienda kibaha kujisomea maana nilikua na mshikaji pale, aisee saa 5 naenda kulala watu wananishangaa, nikasema hii elimu siyo mateso,
Hilo la kufaulu tena div 1 ndiyo la muhimu, hao wenye mikwara huenda kuna ambao hata uliwazidi.Dah mzee umenikumbusha mbali sana, me nilienda nimesoma subtopics 3 tu za mechanics.
Aisee kuna majamaa wana mikwara sana. Sema huwa namshukuru mchizi wangu mmoja hivi dah alinisema sana nilipotaka kuhama shule.
Halafu mwisho wa siku nkatoka na div 1 ya mwisho kwa sasa nipo kwenye waya wa mama kizimkazi.
Pcb ilikua mziki sana ukizingatia bam nayo sio ya kitotoSitaki hata kukumbuka ule mziki wa mkate wa physics....kwanza nilijilaumu kwanini nimeenda kusoma PCB..nawalaumu walimu kwa kunipa bichwa kuwa unaweza ww lazima uende PCB...nilochokua naweza ni Biology tuu....hayo mengine ni practical ndo zilikua zinanisaidia...Phyisics ngumu nyiee...mpk leo sijui hata kuunga balbu iwake...
Yaani mi nilikua naulizia naambiwa physics topic 3 tu form 5, chemistry topic 2 tu nikasema hii elimu kitonga sana.... Aisee kufika nilichoka... Hio mechanics mpaka uimalizeDah mzee umenikumbusha mbali sana, me nilienda nimesoma subtopics 3 tu za mechanics.
Aisee kuna majamaa wana mikwara sana. Sema huwa namshukuru mchizi wangu mmoja hivi dah alinisema sana nilipotaka kuhama shule.
Halafu mwisho wa siku nkatoka na div 1 ya mwisho kwa sasa nipo kwenye waya wa mama kizimkazi.
Nafurahi kugundua kuwa nakujua na vile ulisema wewe ni ngumi mkononi basi mpaka hapa wewe mimi nakujua vilivyo ndugu yangu .Umenikumbusha kijana mmoja anaitwa Rajabu ndegeulaya.
Tuna report advance Azania yeye alipitisha tangazo la kuwa anafundisha tuition Kwa WANACHUKUA PHYSICS, CHEMISTRY NA PURE MATHEMATICS.
WATU walizani ni form six kumbe ni form five alishamaliza topic zote mpaka za six basi ikabidi tuendelee kupiga mapindi kwa Ndegeulaya.