Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Muhimbili kipindi hicho kuwa selected pale basi wewe ni kichwa .

Nakumbuka kuna mwamba baada ya kuchaguliwa muhimbili alibadilisha mpaka mwendo alikuwa anatembea kama anataka kupaa .

Nilikuja kumkuta kigoma ni DMO wa kiwilaya kimoja huko ila hajaacha ule mwendo wa kimuhimbilimuhimbili[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Daa nimecheka sana eti tuko nao payroll za kizimkazi

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hata miaka yetu 2013 physics ilikua haina A nchi nzima NI hatari aisee
 
Mpaka Leo wanachukua cream tu
 
Mwaka wangu niliomaliza 2013 watu wenye div II.10 walikuwa admitted medicine muhimbili

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mwaka upi huo?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hii inaitwa usijione kichwa bado haujakutana na vichwa

Kuna Janja alikuwa anakimbiza shule aliyotoka kuanzia kidato ch kwanza huko yeye ni wa kwanza kufika huko mjini kati pepa la kwaza tu anajikuta huko mashinani ndio kujua kuwa kuna raia konki zaidi yako

Kidogo ilimuathiri ndio alipojua maana ya kukaza buti, maana unashindana na watu wapiojiandaa kuwa washindi lazima uumize ndonga

Ila uzuri msuli haumtupi mtu
 
Ofcourse ni macream tu ndiyo yako pale hata siku hizi.

Ubaya wa pale mademu wengi ni sura za baba na umbo la babu hivyo ukijichanganya ukatwisha mimba basi jua umeharibu taswira ya ukoo wako

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Muhimbili pale Kuna vitoto vya diploma unavuta Mali yako safi kabla ziwa halijalala😃😃
 
Kweli mtupu chief, uzuri hizi shule watu wanakubaliana sana na reality hawadharau mtu unakuta mtu dogo mpo nae darasa Moja na anakupiga pindi fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…