Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Na kuna Jamaa alikuwa anaitwa Ibrahim Jacob (RIP) alikuwa anasoma PCM Olevel lakini alikuwa anapiga Pindi la Advance Math Mchikichini 😂😂😂
Kuna dogo nyuma yetu alikua anasoma pcbm.... Yaani physics, chemistry, biology na pure mathematics.... Na bam juu nikawa namwambia ikifika necta utakataliwa kufanya mtihani wa pure mathematics maana hawawezi ruhusu usome masomo manne, aisee sijui ilikuaje nilikuja sikia aliruhusiwa kufanya mitihani yote

Wataalam hapa watatusaidia
 
Nikifanya paper ya physics ila pendulum in swing nusu kamba nzima nusu inaishia njiani.

Nilitengeneza graph haina kosa hata moja mpka mzimamizi akacheka. Nilichofanya ni kuunga vile vifaa then nkaiacha pendulum inatembea me najaza data tu. Mpka nkapata g=9.812.
Practical rahisi kufoji ilikua hii, mi sikulishika hata Hilo dude... Afu Kuna g unachezesha kidogo usije weka 9.8 kamili😃😃
 
Kwa ufaulo huo mwambie aache kulazimisha pcb aisee.... Kuna watu waliingia pcb na point 4 A,A,B baada ya miezi miwili mtu anaomba poo anataka kuhama combi..... Aisee sisemi kwa ubaya ila Kama o level phys anapata D, aisee advance si ata struggle sana mkuu
Mkuu shukrani sana kwa ushauri naufanyia kazi once wakipanga shule au hata akipata chuo cha kati Afya tutapambana tu
 
Zamani kulikua na spirit sana unakuta wababe wote wa hesabu, au labda physics wanajulika kwa majina hata kama husomi nae habari utazipata tu
Ile Ndiyo ilikuwa elimu sasa ila hii ya sasa hivi eti watoto wanapata div one kama njugu basi nacheka huki napata uchungu nikikumbuka enzi zetu .



Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Yaani mi nilikua nikishapata pilot test natupa mavifaa Yao Huko yaani hapo practical imeisha.....

Mwaka wetu kemia practical ya titration tulifanya mpaka jasho likatoka, ngoma haibadiliki Wala Nini... Mpaka jamaa mmoja akaropoka 'huu ni ujinga' watu wakacheka, msimamizi anauliza Nini watu wakamwambia mbona hii practical Kila mtu inamgomea, wakamtafuta teacher wa kemia kaja kujaribu ikamshinda... Kumbe Hawa kenge walileta chemical sijui za wapi bana, ikabidi msimamizi aandike ripoti kuhusu Hilo swala tukaambiwa tuachane na Hilo swali... Wajinga sijui kama walitupa marks zetu
Bongo ujinga haukuanza leo , yaani hiyo ni necta na makemichal yameletwa yasiyo [emoji848]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Bongo ujinga haukuanza leo , yaani hiyo ni necta na makemichal yameletwa yasiyo [emoji848]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Walizingua sana Kuna wale waliokua wanatafuta u Tanzania one nusu roho iwatoke... Mi nilikua naangalia naona Kila mtu anahangaika nikawa nacheka kimoyo moyo nasema Leo kazi tunayo😃
 
Rah ya huu Uzi watu wote wamesoma PCM PCB na wamesoma izo shule Maalum [emoji23]
Sio kweli wengine tumesoma shule binafsi ila hawa majamaa wa uboyzini na tulikuwa tunameet nao kitaa hasa kwenye kutatua matatizo maalumu maana wao ndiyo walikuwa madaktari maalum

Hivi miaka hiyo uwe mtabe wa maths alafu usijulikane mtaani aaaagh haikuwezekana kaka , hawa tuliwajua kwa kuwasikia na daily tulitamani kukutana nao yaani kiufupi walikuwa maarufu na pia walikuwa wanatafutwa na sisi wa akili za kuegesha japo all in all wengi wao tuko nao kwenye hizi hizi payroll za kizimkazi na tunakula keki pamoja .

Lakini lakufurahisha zaidi wao ni walevi kuliko sisi hivyo tunawacheka kwa hilo[emoji3]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ile Ndiyo ilikuwa elimu sasa ila hii ya sasa hivi eti watoto wanapata div one kama njugu basi nacheka huki napata uchungu nikikumbuka enzi zetu .



Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sa ivi ukipiga 1.5 pcb muhimbili huwezi pata intake, kwa ufaulu huu nadhani muhimbili wanachota 1 za tatu tu...

Au pale udsm pcm hata 1.4 tele communication eng wanaweza wakakutema maana 1.3 ni za kumwaga.... Kuna mwaka T.0 mwenyewe alikua na 1.4 enzi zile Kuna somo Tanzania nzima hakuna aliyenusa A dadeki
 
Umenikumbusha kijana mmoja anaitwa Rajabu ndegeulaya.

Tuna report advance Azania yeye alipitisha tangazo la kuwa anafundisha tuition Kwa WANACHUKUA PHYSICS, CHEMISTRY NA PURE MATHEMATICS.

WATU walizani ni form six kumbe ni form five alishamaliza topic zote mpaka za six basi ikabidi tuendelee kupiga mapindi kwa Ndegeulaya.
Hivi huyu jamaa siku hizi yupo wapi?
 
Back
Top Bottom