Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Nimemkumbuka mmoja tulisoma nae alikuwa akimsikiliza mwalimu darasani amemaliza hana haja ya kurudia.Unakuta mtihani kesho asubuhi watu wanakomaa kusoma yeye anasoma novel.Alikuwa na akili ya kipekee sana,nikasema ikiwa hasomi anafaulu akisema akomae kusoma sijui ingekuwaje.
 
Mziki ulikua kwenye Organic Chemistry mwalimu wetu alikua muhaya yani anavyoongea huwezi muelewa vzr...aisee somo nililichukia...chemstry ni nomaa....mimi nilikua nakomaa na paractical aisee..
Organic chemistry na zile reaction zilikuwa zinaboa sana..

Nakumbuka nilitafuta kitabu cha chands kule nyuma kuna reaction za organic... Nikawa natembea nazo hzo hzo
 

Sasa mmenye umesoma Ilboru halafu unakuwa muoga hivyo? Au ulikuwa unaogopa kukatiza peke yako night kali pale kidaraja kidogo (pa kuoshea vyombo) kwenda prep...
 
Tuwatoe hapo tuwaweke tabora boys, nimechanganya desa hapo
Hizi elimu za kukariri hizi ni shida. Hao wote unaowasifia ni wakali wa kukariri maswali na majibu. Ndiyo maana ikija kwenye real life, wanakuwa wasomi jina na sifa zao zinabaki kwenye historia kama unavyosimulia. Jmani hebu nendeni nchi zilizoendelea muone ufundishaji na mitihani yao ikoje.
 
Sijui Kwa combination zingine Ila Kwangu Mimi PCM elimu ya advance ni muhimu kuliko kila kitu...
Nimesoma hiyo hiyo PCM, nimefika chuo Mwaka wa kwanza tumesoma hesabu zile zile tulizokuwa tunasoma advance, mkifika mwaka wa pili wale waliosoma diploma ndio wanakuja kujiunga na nyinyi kama mwaka wao wa kwanza, na wanakuwa na advantage ya kuwa wame specialize mapema haswa kwa wale waliokuwa wanajitambua

Sikuwa naipenda chemistry na hata kwenye degree yangu sijawahi kuisoma, ukienda kusoma Telecom Engineering Chemistry haipo, Computer Engineering Chemistry haipo Physics ipo kwenye semister moja tu, SOftware Engineering hakuna Physics wala Chemistry etc.
NB: Ukipita 5 na 6 ndoto zako za kwenda kusoma degree zinaweza kuzimwa kwa somo ambalo lisingekuwa na mchango wowote kwenye degree yako
 
Niliendaga jangwani girls, kuna ticha alikuwa anaandaa mitihani ya hesabu... Siku hyo nikaenda nikapata 76... Nikasema huyu mwalimu hamna kitu hata mimi napiga 76..

Nikaenda zangu kwa manyirizu.. Nikaambulia 26..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mmenye umesoma Ilboru halafu unakuwa muoga hivyo? Au ulikuwa unaogopa kukatiza peke yako night kali pale kidaraja kidogo (pa kuoshea vyombo) kwenda prep...
Pale pa kuoshea vyombo daraja dogo majamaa walikua wanakunywa maji ya pale, sema uzuri chanzo kilikua palepale, nilienda nikakuta madogo wamekata topic zote wameanza kufukia za form 6 hapo Mimi mweupe teee nikaingiza baridi....

Uzuri Kule kumdaka mtu akupige pindi watu hawana noma, nikawa nadaka watu wakanipiga pindi mpaka nikakaa sawa ila kwa presha sana

Nilikuaga mtata sana nakumbuka chairman anileteaga pigo za kiboya nikamzingua, yaani umenyeni chairman anajikuta ana nguvu kama mwalimu vile, jamaa akanireport kwa headmaster... Nikaitwa parade eti nichapwe... Nikagomea fimbo jamaa chap akamwambia discipline muandikie suspension ya mwezi huyu... Nikapewa barua nikasepa zangu hapo tupo form 5 nilivyorudi shule jamaa wakawa wananiita mmenye(sio mwanafunzi) maana sio kwa ukauzu ule ndo maana nilivyoona umenyeni nimecheka sana
 
Uko sahihi kbsa

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 

Unajua maana ya shule ya vipaji maalum na wanaopelekwa huko?
Kwanza wanao pangiwa hizo shule ni wanafunzi wachache sana wenye outstanding performance pamoja na kuwa nasikia kuna wachache hudandia lori kwa mbele kwa sababu wanaweza
na ulivyo andika inaonekana kabisa wewe ni kati ya walio dandia lori kwa mbele kwani unafikiri huko special school wanafunzi hujiunga tu kwa kuamua wenyewe.......
 
watu kama st.Francis ukipata 1-11 unajiona umefeli...
Darasa limejaa 1.7View attachment 2882659
Hii inapoteza ladha za enzi zetu, kipindi hicho kujenga vibanda Saba sio poa.. mwaka wetu o level civics hapakua na A Tanzania nzima... Nilikua mbabe sana wa civics kuja kuangalia matokeo nakuta Nina B sikuamini aisee kuja kuskia Tanzania nzima hakuna A😃😃

Walimu kipindi hicho walikua roho bad... Hawapoi hawaboi
 
[emoji23] NIMECHEKA Kama mazuri
 
MWANANGU NIPO TOWN NAUNGA UNGA MWANA NIPE CONNECTION AZA BOY KITAMBO [emoji2935]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…