Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Unajua maana ya shule ya vipaji maalum na wanaopelekwa huko?
Kwanza wa nao pangiwa hizo shule ni wanafunzi wachache sana wenye outstanding performance pamoja na kuwa nasikia kuna wachache hudandia lori kwa mbele kwa sababu wanaweza
sasa kama wewe ni Kilaza ujue ni kati ya walio dandia lori kwa mbele.........
Unaniuliza kama najua maana yake wakati nimesoma huko... Hakuna Cha uchache Wala Nini sisi shule ilikua na combination 3 tu pcm,pcb na hgl ila tupo mijitu zaidi ya 200
 
Nikajua atakuwa Harvard, oxford, Cambridge anafundisha au kaajiriwa TESLA , google na makampuni makubwa ila kaishia UDSM ,duu basi hatari sana

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Makampuni mbali mbali,mashirika,vyuo yalimtaka/vilimtaka akakataa offer akarudi nyumbani kurudisha kwa jamii(UDSM).
search youtube Martin Chegere vs salama mkasi alimuhoji.
 
Huyu niliyesoma nae alikua T.0 o level na advance pia... Yaani alivyokuja advance akawa anaitwa T.O nadhani Kuna watu hata jina lake walikua hawalijui

Mwaka wetu top 10 jamaa ndo aliongoza huku hao Tisa wote waliobaki wakiwa mademu tupu, kipindi hicho kifungilo na Marian girls weka mbali na watoto
hakuna mtu mwengine aliyekuwa t.o o level na advance zaid ya martin chegere.MTAJE na miaka aliyomaliza!
 
Pale pa kuoshea vyombo daraja dogo majamaa walikua wanakunywa maji ya pale, sema uzuri chanzo kilikua palepale, nilienda nikakuta madogo wamekata topic zote wameanza kufukia za form 6 hapo Mimi mweupe teee nikaingiza baridi....

Uzuri Kule kumdaka mtu akupige pindi watu hawana noma, nikawa nadaka watu wakanipiga pindi mpaka nikakaa sawa ila kwa presha sana

Nilikuaga mtata sana nakumbuka chairman anileteaga pigo za kiboya nikamzingua, yaani umenyeni chairman anajikuta ana nguvu kama mwalimu vile, jamaa akanireport kwa headmaster... Nikaitwa parade eti nichapwe... Nikagomea fimbo jamaa chap akamwambia discipline muandikie suspension ya mwezi huyu... Nikapewa barua nikasepa zangu hapo tupo form 5 nilivyorudi shule jamaa wakawa wananiita mmenye(sio mwanafunzi) maana sio kwa ukauzu ule ndo maana nilivyoona umenyeni nimecheka sana

Ungesoma enzi za walimu kama Losujak aka Chifu R.I.P, Shembilu aka Mwasahili R.I.P, Mgaya aka Machakura R.I.P sidhani kama ungejaribu kuleta utemi...(timeline unayoielezea inaonesha hao waalimu hawakuwepo Ilboru)
 
Nafurahi kugundua kuwa nakujua na vile ulisema wewe ni ngumi mkononi basi mpaka hapa wewe mimi nakujua vilivyo ndugu yangu .

Mwenzio mbali na kurukaruka ila nilienda Muhimbili na badae huko nje vipi mwanangu ulitobolea wapi mzee baba ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
nikitulia nitaleta kisa kilichonifanya nijifinze ngumi ilikua form2 hiyo.

Nakumbuka tulikua tuna mechi ya mpira wa miguu na PUGU BOYS Tena wao ndiyo walikuja Azaboy.

Mimi nikiwa shabiki nilikwenda upande wa PUGU BOYS na kuanzisha FUJO wakaniuliza unaweza michezo niliwajibu ndiyo nikiwa Mimi na rafiki ZANGU WAWILI.

Wakanikabidhi dogo mmoja wa Form 1 tuzichape aisee nilichezea kichapo heavy mzee mpaka sasa huwa sisahau wenzangu walinikimbia niligongeshwa vitasa na Yule DOGO mpaka nikajiona bure kabisa[emoji23]
 
nikitulia nitaleta kisa kilichonifanya nijifinze ngumi ilikua form2 hiyo.

Nakumbuka tulikua tuna mechi ya mpira wa miguu na PUGU BOYS Tena wao ndiyo walikuja Azaboy.

Mimi nikiwa shabiki nilikwenda upande wa PUGU BOYS na kuanzisha FUJO wakaniuliza unaweza michezo niliwajibu ndiyo nikiwa Mimi na rafiki ZANGU WAWILI.

Wakanikabidhi dogo mmoja wa Form 1 tuzichape aisee nilichezea kichapo heavy mzee mpaka sasa huwa sisahau wenzangu walinikimbia niligongeshwa vitasa na Yule DOGO mpaka nikajiona bure kabisa[emoji23]
[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nilipenda sana kusoma lkn elimu haikunipenda kabsaa nilivyofeli darasa la saba tuu tu pale kwenda private ndo akili ikavurugika

Lakn ....

Sent from Tesla device phone
 
Imagine natoka kibaha nakuja kupiga kipindi mchikichini kwa mudi physics (rip) ticha

Nilipiga division 4 o level lkn leo mimi ndo yule ambae matangazo yote ya mpira kutoka azam tv hayaendi hewani bila mimi kuhusika kwa asilimia 95%.

Sent from Tesla device phone
 
Kuna dogo nyuma yetu alikua anasoma pcbm.... Yaani physics, chemistry, biology na pure mathematics.... Na bam juu nikawa namwambia ikifika necta utakataliwa kufanya mtihani wa pure mathematics maana hawawezi ruhusu usome masomo manne, aisee sijui ilikuaje nilikuja sikia aliruhusiwa kufanya mitihani yote

Wataalam hapa watatusaidia
Haiwezekani siku ya pure ndiosiku ya bam.hapo umetupiga fix🤣🤣🤣🤣🪑💺
 
Back
Top Bottom