Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mambo ya Benzene...Organic chemistry na zile reaction zilikuwa zinaboa sana..
Nakumbuka nilitafuta kitabu cha chands kule nyuma kuna reaction za organic... Nikawa natembea nazo hzo hzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya Benzene...Organic chemistry na zile reaction zilikuwa zinaboa sana..
Nakumbuka nilitafuta kitabu cha chands kule nyuma kuna reaction za organic... Nikawa natembea nazo hzo hzo
Kwa masomo ya arts ni kupoteza muda Ila sayansi hasa PCM siyo level ya kuiruka.
Muhimu sana mbele ya safari huko elimu ya juu. Pia katika maisha ya kawaida ya fundi sanifu au mhandisi.
Nimesoma hiyo hiyo PCM, nimefika chuo Mwaka wa kwanza tumesoma hesabu zile zile tulizokuwa tunasoma advance, mkifika mwaka wa pili wale waliosoma diploma ndio wanakuja kujiunga na nyinyi kama mwaka wao wa kwanza, na wanakuwa na advantage ya kuwa wame specialize mapema haswa kwa wale waliokuwa wanajitambua
Sikuwa naipenda chemistry na hata kwenye degree yangu sijawahi kuisoma, ukienda kusoma Telecom Engineering Chemistry haipo, Computer Engineering Chemistry haipo Physics ipo kwenye semister moja tu, SOftware Engineering hakuna Physics wala Chemistry etc.
NB: Ukipita 5 na 6 ndoto zako za kwenda kusoma degree zinaweza kuzimwa kwa somo ambalo lisingekuwa na mchango wowote kwenye degree yako
Mimi nilifanya hivi hivi nikienda form 5 nikiwa nimemaliza topics zote niliporudi nusu mhula nilichelewa mwezi mzima nikamalizia za form 6 baada ya hapo nikawa nafundisha wenzangu advance topics za tuition wao wananifundisha/kuelekeza notes shallow za walimu wa shule,namshukuru mungu div 1 ilisimama advance, nilichojifunza advance ni muda mchache sn use it very wise otherwise kwenda na div 1 na kutoka na zero ni rahisi sn.Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm... Kipindi hicho special school wamejaa watoto wa dar kutoka (kibaha, Azania, pugu) aisee Hawa madogo wana sifa kishenzi.... Mtu anakuja kuripoti form 5 ameshamaliza topic zote za form 5 anakaribia kumaliza za form 6
Sasa si matozi tulivyomaliza form 4 vitabu tukatupa Kule mpaka siku ya kuripoti hujawahi kupiga pindi lolote... Unakutana na vitoto vimesoma sijui mchikichini huko aisee wamefuta topic zote, aisee nilipata presha sana mpaka kuzoea ile Hali.... Nakuta madogo wanapiga integration kama hawana akili, ukikaa bwenini wanaulizana kwa nguvu reaction za organic. Chemistry huko....
Dah yaani mwezi wa kwanza form 5 watu wanasolve necta review nikasema hapa nimeyatimba... Aisee ile presha ya ku catch up nilipata shida Sana sio Siri... Ukiwa na roho nyepesi unaweza kukata tamaa Moja kwa Moja
Kuna dogo tumeingia form 5 alikua anaitwa T.O (Tanzania one) alitukimbiza wote form 4 aisee huyu Jamaa mpaka Leo hua namuogopa. Hua namwambia hata hii kazi ya u engineer unayofanya unastahili kua somewhere else una potential kubwa sana, picha linaanza tumeingia form 5 hapo.... Sasa form 6 walikua wanafanya fitness tests (hii anatokea mwanafunzi mmoja au wawili wanatunga mtihani alafu wengine wanafanya japo sio lazima)
Ujinga wa hii mitihani wanafunzi wanajua kukomoana yaani maswali yote unakuta ya kibabe... Kuzungusha 0 huku ni kawaida tu ndo maana wengi walikua hawataki huu ujinga, dogo bana tunafika form 5 kaskia form 6 wanafanya fitness test ya physics dogo akazamia akapiga Pepa... Matokeo yanatoka form 6 karibu wote wamefeli dogo kawakimbiza.... Wote wanaulizana hili jina nani mbona hatumjui... Kuja kuulizia wakaja kugundua ni dogo wa form 5 aisee jamaa walimind kinoma akapigwa marufuku kabisa kusogeza pua kwenye fitness tests za form 6
Huyu dogo tulipofika form 6 sidhani kama aliwahi kukaa akasoma, jamaa alikua anakaa zake class watu wamepanga foleni na maswali Yao yaliowashinda dogo anapiga yote tu hajali kama ni ya physics, chemistry, pure au bam ye anasolve tu. Alikuja kua Tanzania one tena form 6 jamaa walimtangaza hesabu paper 1 na 2 zote alipiga 100%.
Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
NAJUA MKUU SEMA TULIITA HIVYO ILI UKITAMKA MBELE ZA WATU NA WEWE UONEKANE MNOMA.Not pure mathematics ni Advanced mathematics.
Ha ha ha... Au unamzungumzia teacher philipo wa chemistry pale ilboru?Wanafunzi pia hawapendi kufundishwa wanaona kama wanapotezewa muda tu... Tulikua na mwalimu wa chemistry jamaa alikua anafundisha shule mbili za private huku kaajiriwa serikali
Jamaa ukiacha practical sidhani kama aliwahi hata kutufundisha, alikua mtu wa vyombo alikua anakuja class tunapiga nae story tu za mademu[emoji2][emoji2]
Duuuu hii imenichekesha aisee, just imagine hujaunga ata waya ila umepata dataPcb ilikua mziki sana ukizingatia bam nayo sio ya kitoto
Practical nilikua bingwa wa kufoji practical aisee, necta nilipangiwa sehemu ya kuanza kufanya practical ya umeme yule msimamizi alinichek mpaka akacheka, yaani sikuunga kitu chochote jamaa anakuja kuniambia muda unaenda mbona hufanyi practical anakuta ndo namalizia kuchora graph nishamaliza saa nyingi...
Akaishia kucheka tu ananiuliza sasa we hizi data umezipataje
Kumbe wee jamaa uko vizur upstairs japo kwny nyuzi zako unatuigizia ukilaza[emoji4]Alikua headboy wangu MKUU nimesoma nae O level na Na advance nimepiga nae yeye alipiga PCM Mimi nilikua napiga EGM tulikua tunakutana kwenye Pure mathematics.
Mkuu ulisoma Ilboru?Ha ha ha... Au unamzungumzia teacher philipo wa chemistry pale ilboru?
Kumbe misukosuko uliianza siku nyingi tu mkuu😀😀Mimi ujuzi wangu wa Kuzungusha shingo kwa haraka sana na kukusanya majibu ulinifikisha mbali sana.
Uliyatimba[emoji23]Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm... Kipindi hicho special school wamejaa watoto wa dar kutoka (kibaha, Azania, pugu) aisee Hawa madogo wana sifa kishenzi.... Mtu anakuja kuripoti form 5 ameshamaliza topic zote za form 5 anakaribia kumaliza za form 6
Sasa si matozi tulivyomaliza form 4 vitabu tukatupa Kule mpaka siku ya kuripoti hujawahi kupiga pindi lolote... Unakutana na vitoto vimesoma sijui mchikichini huko aisee wamefuta topic zote, aisee nilipata presha sana mpaka kuzoea ile Hali.... Nakuta madogo wanapiga integration kama hawana akili, ukikaa bwenini wanaulizana kwa nguvu reaction za organic. Chemistry huko....
Dah yaani mwezi wa kwanza form 5 watu wanasolve necta review nikasema hapa nimeyatimba... Aisee ile presha ya ku catch up nilipata shida Sana sio Siri... Ukiwa na roho nyepesi unaweza kukata tamaa Moja kwa Moja
Kuna dogo tumeingia form 5 alikua anaitwa T.O (Tanzania one) alitukimbiza wote form 4 aisee huyu Jamaa mpaka Leo hua namuogopa. Hua namwambia hata hii kazi ya u engineer unayofanya unastahili kua somewhere else una potential kubwa sana, picha linaanza tumeingia form 5 hapo.... Sasa form 6 walikua wanafanya fitness tests (hii anatokea mwanafunzi mmoja au wawili wanatunga mtihani alafu wengine wanafanya japo sio lazima)
Ujinga wa hii mitihani wanafunzi wanajua kukomoana yaani maswali yote unakuta ya kibabe... Kuzungusha 0 huku ni kawaida tu ndo maana wengi walikua hawataki huu ujinga, dogo bana tunafika form 5 kaskia form 6 wanafanya fitness test ya physics dogo akazamia akapiga Pepa... Matokeo yanatoka form 6 karibu wote wamefeli dogo kawakimbiza.... Wote wanaulizana hili jina nani mbona hatumjui... Kuja kuulizia wakaja kugundua ni dogo wa form 5 aisee jamaa walimind kinoma akapigwa marufuku kabisa kusogeza pua kwenye fitness tests za form 6
Huyu dogo tulipofika form 6 sidhani kama aliwahi kukaa akasoma, jamaa alikua anakaa zake class watu wamepanga foleni na maswali Yao yaliowashinda dogo anapiga yote tu hajali kama ni ya physics, chemistry, pure au bam ye anasolve tu. Alikuja kua Tanzania one tena form 6 jamaa walimtangaza hesabu paper 1 na 2 zote alipiga 100%.
Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
Nilifika shule ya namna hii nimeripoti tuu nikakutana na haya mambo watu wametokea shule kali huko aisee mimi nimetokea shule ya kata duh hakuna walimu hata akija anafundisha kama watu waliokwisha kusoma tayari akiuliza swali watu wanajibu nabaki peke yangu ambae sijajibu. Watu form five anasolve chand, tom duncan.Basi bwana kuna jamaa mmoja alikua anasema physics rahisi sana kwake kwahiyo wale ambao hatujui lolote jamaa akaanza kutufundisha kuanzia topic za mwanzo kabisa. Cha kushangaza ukaja mtihani wa phyisics jamaa nikamkimbiza yeye na majamaa wengi tuu waliokua manakua na kujionesha aisee hahaha sitasahau mimi naenda kwa mwana tuendelee kupiga pindi jamaa akanichana "Sina muda nina mambo mengi" baadae shule ilivokuja kuchanganya hakuna cha aliesoma tuition au umetoka sijui st nani mziki ulikua mzito kwa wote zile mbwembwe huwaga za mwanzoni tuu.Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm... Kipindi hicho special school wamejaa watoto wa dar kutoka (kibaha, Azania, pugu) aisee Hawa madogo wana sifa kishenzi.... Mtu anakuja kuripoti form 5 ameshamaliza topic zote za form 5 anakaribia kumaliza za form 6
Sasa si matozi tulivyomaliza form 4 vitabu tukatupa Kule mpaka siku ya kuripoti hujawahi kupiga pindi lolote... Unakutana na vitoto vimesoma sijui mchikichini huko aisee wamefuta topic zote, aisee nilipata presha sana mpaka kuzoea ile Hali.... Nakuta madogo wanapiga integration kama hawana akili, ukikaa bwenini wanaulizana kwa nguvu reaction za organic. Chemistry huko....
Dah yaani mwezi wa kwanza form 5 watu wanasolve necta review nikasema hapa nimeyatimba... Aisee ile presha ya ku catch up nilipata shida Sana sio Siri... Ukiwa na roho nyepesi unaweza kukata tamaa Moja kwa Moja
Kuna dogo tumeingia form 5 alikua anaitwa T.O (Tanzania one) alitukimbiza wote form 4 aisee huyu Jamaa mpaka Leo hua namuogopa. Hua namwambia hata hii kazi ya u engineer unayofanya unastahili kua somewhere else una potential kubwa sana, picha linaanza tumeingia form 5 hapo.... Sasa form 6 walikua wanafanya fitness tests (hii anatokea mwanafunzi mmoja au wawili wanatunga mtihani alafu wengine wanafanya japo sio lazima)
Ujinga wa hii mitihani wanafunzi wanajua kukomoana yaani maswali yote unakuta ya kibabe... Kuzungusha 0 huku ni kawaida tu ndo maana wengi walikua hawataki huu ujinga, dogo bana tunafika form 5 kaskia form 6 wanafanya fitness test ya physics dogo akazamia akapiga Pepa... Matokeo yanatoka form 6 karibu wote wamefeli dogo kawakimbiza.... Wote wanaulizana hili jina nani mbona hatumjui... Kuja kuulizia wakaja kugundua ni dogo wa form 5 aisee jamaa walimind kinoma akapigwa marufuku kabisa kusogeza pua kwenye fitness tests za form 6
Huyu dogo tulipofika form 6 sidhani kama aliwahi kukaa akasoma, jamaa alikua anakaa zake class watu wamepanga foleni na maswali Yao yaliowashinda dogo anapiga yote tu hajali kama ni ya physics, chemistry, pure au bam ye anasolve tu. Alikuja kua Tanzania one tena form 6 jamaa walimtangaza hesabu paper 1 na 2 zote alipiga 100%.
Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
Shengena?, Kibo?, Mawenzi?, Hanang?Mm jnimesoma old Moshi hakuna upuuzi huo
Mkuu hongera kwa kupitia shule hizo za vipaji. Maana inasemekana kule ndipo panatoka bongo za kuendesha nchi ( Sina hakika ukizingatia wenye vipaji wanawindwa na wenye wivu ovu). Panatamanisha asikwambie mtu! .Huku kama una roho ndogo sio pa kwenda mi nusura panishinde nilitaka nirudishe mpira kwa kipa(kuhamia private)
Gifted minds!Nimemkumbuka mmoja tulisoma nae alikuwa akimsikiliza mwalimu darasani amemaliza hana haja ya kurudia.Unakuta mtihani kesho asubuhi watu wanakomaa kusoma yeye anasoma novel.Alikuwa na akili ya kipekee sana,nikasema ikiwa hasomi anafaulu akisema akomae kusoma sijui ingekuwaje.
Acha uongo mkuu, kuna mwamba anaitwa JAPHET.hakuna mtu mwengine aliyekuwa t.o o level na advance zaid ya martin chegere.MTAJE na miaka aliyomaliza!
Unaniuliza kama najua maana yake wakati nimesoma huko... Hakuna Cha uchache Wala Nini sisi shule ilikua na combination 3 tu pcm,pcb na hgl ila tupo mijitu zaidi ya 200