Pale pa kuoshea vyombo daraja dogo majamaa walikua wanakunywa maji ya pale, sema uzuri chanzo kilikua palepale, nilienda nikakuta madogo wamekata topic zote wameanza kufukia za form 6 hapo Mimi mweupe teee nikaingiza baridi....
Uzuri Kule kumdaka mtu akupige pindi watu hawana noma, nikawa nadaka watu wakanipiga pindi mpaka nikakaa sawa ila kwa presha sana
Nilikuaga mtata sana nakumbuka chairman anileteaga pigo za kiboya nikamzingua, yaani umenyeni chairman anajikuta ana nguvu kama mwalimu vile, jamaa akanireport kwa headmaster... Nikaitwa parade eti nichapwe... Nikagomea fimbo jamaa chap akamwambia discipline muandikie suspension ya mwezi huyu... Nikapewa barua nikasepa zangu hapo tupo form 5 nilivyorudi shule jamaa wakawa wananiita mmenye(sio mwanafunzi) maana sio kwa ukauzu ule ndo maana nilivyoona umenyeni nimecheka sana