Kwa walioolewa zaidi ya mara moja

Nimesoma kwa mshtuko maana niko na lijamaa langu mwaka wa saba huu tunadanganyana tu hatueleweki status ya mahusiano yetu sijui ni mazoea au kukatana kiu tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiambiwa duniani kuna watu mbalimbali

Basi hao ndio watu mbalimbali wenyewe
 
Ukome na kilanga cha ngeda, kuuliza huko vepeeee? Km hutak kuchangia unaacha kwan sio lazima.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wanaume muwe mnaonja kwanza msijeuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Ok
 

Attachments

  • divateetee_20200802_142635_5.jpg
    83.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…