Kwa walioolewa zaidi ya mara moja

Kwa walioolewa zaidi ya mara moja

Nimesoma kwa mshtuko maana niko na lijamaa langu mwaka wa saba huu tunadanganyana tu hatueleweki status ya mahusiano yetu sijui ni mazoea au kukatana kiu tu 😂😂😂😂😂😂
 
Ukiambiwa duniani kuna watu mbalimbali

Basi hao ndio watu mbalimbali wenyewe
 
Wanaume muwe mnaonja kwanza msijeuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Ok
 

Attachments

  • divateetee_20200802_142635_5.jpg
    divateetee_20200802_142635_5.jpg
    83.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom