Odooooooong! Halaf tunajibu, Odwaaaaar! Mtatiro na mtoto wa mama Leah (a.k.a. Bush) na Rais wao Deo! Nafkiri Mlowe Pasience hatomsahau Odong Odwar katika maisha yake! So sad that the guy was expelled from the varsity and immediately was taken back to his country - Uganda.
Tarehe 12/11/2008
Uongozi wa UDSM ulilazimika kufunga chuo kwa muda usiojulikana Kutokana
fujo zilizotokea chuoni pale kwa siku 3 mfululizo! Nakumbuka hapa
kulikua na nguvu ya siasa pia! Kikubwa ni kwamba uongozi wa UDSM ulikua
unamtaka Pasience Mlowe awe Rais wa DARUSO wakati kwa wanafunzi walikua
wanamtaka ODONG ODWAR! Naikumbuka siku hii kwani nilinusurika ajali
wakati nawakimbia FFU waliokua na uchu wa kutoa kipigo kwa
wanafunzi!
Campusa ni nini jamani?
yule Rich sijui atakua wapi sasa....
FILBERT NICKSON...
huyu dogo ni puto kweli kweli, too weightless.
Hana madhara yoyote, mpk najiuliza alipataje madaraka
yule Rich sijui atakua wapi sasa....
Mkuu tujuze, huyo ni nani na ni wa zama zipi? ili tukumbuke mapito.
Ni list ndefu
iliyofukuzwa 2011,
1. Alphonce Lusako (Emekha)
2. Evarist Ambrose Silayo
3.Baraka Monance (kijicho)
4. Mabirika Mawazo (Al-shabab)
5. Helen Philip Mushi (Al-shabibi)
6. Fredy Chacha Hatari
7. Elius Mwambapa
8. Francis Ndunguru
9. Japhet Mwashimaha (Sokwe)
10. Legan Michael
11. Bocasa
na viongozi wa DARUSO kama
1. Daniel Naftal (Waziri wa mikopo)
2. Paul Mkenda (Menyekiti, UDSL)
3. Ado Shaibu (katibu UDSL)
4. Nicodemus Kazimil
na wengine siwakumbuki majina.
Ila ktk list hii nilikuwa namkubali sana Ambrose Evarist Silayo, jamaa
ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, I can see a future leader in him. Pia
akina emekha na wengine wote ni wazuri ktk harakati, but mi
nilimkubalisana Silayo.
Yupo usalama wa taifa
sijui ndio huyo al shabab alisema akifukuzwa chuo atajua mambo mawili kuweka risasi katika bastola na kushoot, alifukuzwa na hayo mambo mawili sikuona kafanya.Ni list ndefu iliyofukuzwa 2011,
1. Alphonce Lusako (Emekha)
2. Evarist Ambrose Silayo
3.Baraka Monance (kijicho)
4. Mabirika Mawazo (Al-shabab)
5. Helen Philip Mushi (Al-shabibi)
o.
kweli??????
nilikua nampenda........, alikua ana influence acha.....
kweli??????
nilikua nampenda........, alikua ana influence acha.....
Mkuu umegusa sana, Umenikumbusha kijicho ila umemsahau rafiki yake aliitwa Bokasa.
Kijicho alikuwa hana time ya kubembeleza, yeye anatoa amri watu wanasonga mbele.
Nasikia ndiye rais wao siku hizi. Typical CCM kama kale kalikopita (kisanko). Hana uwezo wa kujenga hoja
nasikia al shebibi alirudishwa. Ananikoshaga sauti yake