Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

udsm ilikua enzi zile tunapinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo siyo sasa. nina mwaka wa tano sijasikia kunji udsm

Wewe ni cha mtoto, ulizia waasisi wakupewa meal NA book allowance!
 
wakuu inaonekana wanaharakati wengi walikuwa wanatoka mikoa ya kanda ya ziwa...

kweli si kweli?
 
Ni kweli mkuu, sio wanaharakati tu bali hata viongozi wengi wa DARUSO wametokea maeneo ya ziwani kule.

wakuu inaonekana wanaharakati wengi walikuwa wanatoka mikoa ya kanda ya ziwa...

kweli si kweli?
 
Huyu ndio Mwita huyu tunayemuona CDM leo hii?

Mwita mpaka alifungia
ndoa pale pale Chuo,,jamaa kweli alikua fisadi japo watu walimpigania na
walikua wanampenda sana kuliko makoye.
Awamu iliyofuata yaani Julius Mtatiro ndo kama alikua raisi
kabisa.
 
imenibidi nijongee u-tube kuwacheki...
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu, sio wanaharakati tu bali hata viongozi wengi wa DARUSO wametokea maeneo ya ziwani kule.

inaonekana kuna mbinu zinafanyika kuwapunguza watu kutoka kanda ya ziwa!

i may think so, wazazi nao wanatupiga mikwara mingi sana tujapo huku...

kuna jamaa kafukuzwa UD karibu miaka 10, basi kila siku huwa ananipa wosia wa kutogoma...
 
Hahaha, siku ile tupo utawala alishabibi akasema "mke mwema anatoka kwenye matatizo"
Siku hizi kapendeza yupo pande za tabata mawenzi. I think alipata kazi kwenye one of the leading printing company in TZ. Alshabibi namkumbuka alikuwa mtata tangu anasoma Bagamoyo sec, alikuwa na jamaa yake (namwonaga anatangaza mlimani TV cku hizi), maticha walimpiga sana binti hasikii, alikuwa amezimika kwa chalii

Naikumbuka sana mkuu siku hiyo na mkwara wa Alshabaab "tumesha-solve x tunaenda kusolve y"..
 
Mkuu kwa kweli sitomsahau Odwar na harakati zake dah hadi jina lake likawa ndo kama kibwagizo ukisikia odwong wengine wanajibu odwar zile harakati nilikuwa bado njuka ila sitoyasahau kamwe huyo Papa jiwe anapomlinganisha mawazo na odwong kwa kweli jamaa alikuwa moto kwa hadi kasindikizwa airport na kupandishwa kwenye ndege kurudishwa uganda na serikali ya Fasjet nakumbuka jamaa alipinga sana mradi wa mlimani city dah wish one day i could meet those activists inorder to pay my tributes kwao , where is Owawa ? Where is Machibya ? Congrats to Silinde , Nasari and John Mnyika aliejenga chama ktk chuo kikuu cha dar. Nakumbuka routes zako wanafunzi walikupenda sana John Mnyika

Uloi nga mâché68;10167347 said:
Pumbafu kumbe UDSM ya Juzi tu Hata maziwa yanatoka puani? Hao wapuuzi tu!
 
Last edited by a moderator:
Jakaya jakaya kikwete sikutegemea kama Leo Hi atakua kiongozi wangu
 
Umenikumbusha mbali Excel. Nilimuonea huruma mno kawambwa daah hasa baada ya kutoka pale

Hata me kanikumbusha mbali sana hii meeting na kawambwa ilikua iwe nkrumah hall watu wakagoma padogo wakaamishia viwanja vya pool baada ya mkutano pipo zikaanza kuzomea na kuwarushia maji FFU wakafanya yao nakumbuka nilikimbia kutoka uwanjani nikajikuta mbele ya mawasiliano tower kuna mvulana alianguka mbele yangu nilimruka kama siyo demu vile ctakaa nisahau revolution for changes:sly:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom