Kwa waliosoma bcom tu.

Wadau wenzangu kumbe 2po wengi hapa.Naona mmepumzika jf japo leo mnachenu cha LWIZA.kila la kheri bana 2takutana kwa sharobaro wetu wa strategic alhamisi. Siye wazee wa marketing 2naua ijumaa PR.
 

Hili hawajalielewa bado watu wengi.
 
Kiukweli ni kwamba sasa hivi kupata kazi/kuajiriwa ni function ya vitu vingi sana (kujuana ikiwemo). Ukijuana na watu wakati umefanya vizuri shuleni unakuwa na advantage. Kuliko uchemshe shuleni, utaulizwa "tukusaidieje sasa?" Cha msingi wewe ni kupiga kitabu kwa kwenda mbele. ikiwezekana ingia kwenye professionals mbalimbali. ndio maana utaona kuna watu walisoma engineering leo ni ma-procurement experts (wako pale PPRA, World bank etc.), kuna watu walisoma ualimu wa physics and Chemistry leo wana CPA ni wahasibu (wako serikalini na kwenye taasisi mbalimbali). So hakuna fomula siku hizi ndugu yangu. Weka determination yako, kaza mwendo maisha yatasonga mbele, ingawa wakati mwingine huwezi jua utatokea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…