Kwa waliosoma bcom tu.

Kwa waliosoma bcom tu.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Jaman ndugu zangu,me ndo namalizia kadegree kangu ka biashara hapa mwaka huu.naomben mniambie market ya hii kitu ikoje huko sokoni.over
 
dogo bila kutumia strategy za "technical know who" katika kutafuta kazi, basi utasota benchi sana.Ila usiogope sana kwani kuna wanaobahatika kupata kazi nzuri bila kupigiwa chapuo
 
Hahahahahahaha wewe ndio ulikua unazalau nyuzi moja ya mleta mada juu ya walimu?? Kumbe hata degree haujamaliza,ok mie nikushauri sasa endelea kujenga mazingira mazuri na watu waliopo makazini hivi hivi inakua ngumu kwani kuna jamaa yangu kamaliza PSPA hapo kwenu lakn sasa anafanya kazi ya uhasibu so usichague kazi ukimaliza chuo mengine baadae
 
3.5 inasoma senetor? kama hapana, jipange! Nyinyi mnaonaga UD ndo mko peke yenu duniani. ile last interview ya tra watu wa mlimani walikuwa sita tu! mana requirement ilikuwa ni upper second, watoto wa CBE na IFM na Tumaini walikuwa nyomi! ha ha ha ha poor senetor, utashangaa kukuta mtoto wa CBE anakukimbiza mchaka mchaka na Bcom yako.
 
Jaman ndugu zangu,me ndo namalizia kadegree kangu ka biashara hapa mwaka huu.naomben mniambie market ya hii kitu ikoje huko sokoni.over

Market ipo GPA ngapi mkuu?Specialization?
 
lol.... nasikia leo mmeanza UE, best wishez.
jitahid hata upper second mkuu.
uku sokoni unajua nn sawa wanaiconsider lkn unamjua nani ndio sana haswaa.
komalia GPS ss, hujachelewa.
 
Jaman ndugu zangu,me ndo namalizia kadegree kangu ka biashara hapa mwaka huu.naomben mniambie market ya hii kitu ikoje huko sokoni.over

Vp ni B.Com (General) au ume specialize wapi kwenye HR, Marketing, Accounting, Finance Tourism, Procurement or Small biz?!
 
Vp ni B.Com (General) au ume specialize wapi kwenye HR, Marketing, Accounting, Finance Tourism, Procurement or Small biz?!

bcom-finance mkuu.
 
Market ipo GPA ngapi mkuu?Specialization?

mwaka wa kwanza ilisoma 3.4,2nd yr ikasoma 3.9,mwaka huu wa mwisho bado cjajua..then nimespecialize in finance mkuu.
 
mwaka wa kwanza ilisoma 3.4,2nd yr ikasoma 3.9,mwaka huu wa mwisho bado cjajua..then nimespecialize in finance mkuu.
Mkwizu, Lwiza, Minja, Bais....hawa watu wa Finance lazima wakung'ang'anie mwaka huu!
 
Mkwizu, Lwiza, Minja, Bais....hawa watu wa Finance lazima wakung'ang'anie mwaka huu!

umenitajia hao watu nimejisikia kusisimka.
watamkamata kweli wale sijui wapoje mmh.
 
bcom-finance mkuu.

GPA inamata huku kitaa. Uwakika ukiwa 3.8 angalau hautabika saa, labda kama una m2. Ila na bahati inahusika. Mwombe Mungu. Mwambie Dr.chijoliga aache kuban hayo ma Gpa.
 
Jaman ndugu zangu,me ndo namalizia kadegree kangu ka biashara hapa mwaka huu.naomben mniambie market ya hii kitu ikoje huko sokoni.over

kaka,Hyo kozi yko choo cha mashetani hko!bora ungesomea UTICHA au HOTEL MANAGEMENT ungetoka kiuraisi.
 
mwaka wa kwanza ilisoma 3.4,2nd yr ikasoma 3.9,mwaka huu wa mwisho bado cjajua..then nimespecialize in finance mkuu.

Kwasababu muda mwngi ulitumia kwnye harakati...mwaka huu utapata 3.0
 
Mkwizu, Lwiza, Minja, Bais....hawa watu wa Finance lazima wakung'ang'anie mwaka huu!

lwiza (fn 307) anaweza pitika kwa semester hii inayomalizika...nae minja(ib 301) ths semester nae kuna kautata kidogo...ila mkwizu(fn301) na baisi (fn 310) next semester kuwa mwangalifu...lwiza atakuja na fn302 itakuwa ma notes nyng sana ila itapitika...so kwa finance komaa na hao finance GURU's utamaintain gpa yako!
Pga msuli wa alevel..
 
thruth be told Senetor,huku kitaa ni kumenuka mbaaaya lakini sio iiishu kila mtu na bahati yake
 
Back
Top Bottom