Kwa walivyo na roho ngumu bado watasema tuma na ya kutolea

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,386
Reaction score
5,325
Ni maajabu na ni maajabu kweli kweli ,licha ya kelele zote hizi bado utaambiwa tuma na ya kutolea kama unanipenda kweli.

Lakini bado wanaume wa kweli tutatuma na ya kutolea.
 
Mliambiwa muinvest Na kutumia cryptocurrency mkasema Ni utapeli .
Haya Sasa Kati ya Bitcoin Na Samiacoin ipi inawafilisi?
 
Sasa hivi mtatuwekea benki hakuna shida wapendwa wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…