Kwa wamama na wadada .only...

Kwa wamama na wadada .only...

Kweli wewe unawza pewa pin number za ATM, kwa huo msamba?
Mie mifupa migumu hadi niongezee grisi.

Motema na ngai,,papaa la isti africa..count me in,ila atm zote nashika mimi+unipe na pin# !!
 
Vipi nyie mko wapi? I wish tena? Mnajua maana ya gateway? Mambo iko bana.

Tupo pamoja EMT... Wewe wazungumzia jinsi getaway itavo kua in general, mimi na Konny in particulars....🙂
 
Last edited by a moderator:
Tena mie nalala pembeni, EMT kati wewe ADI ukutani.
Ngoja nichukueni na nit dress ya pink au red au blood purple lol

Tupo pamoja EMT... Wewe wazungumzia jinsi getaway itavo kua in general, mimi na Konny in particulars....🙂
 
Motema na ngai,,papaa la isti africa..count me in,ila atm zote nashika mimi+unipe na pin# !!

Kwa mazoezi tu hayo kwenye avatar inaonesha flexibility ya hali ya juu.... Naamini hutakosa chance....lol
 
Hahahaha. Don't worry. We have got the room keys. Tena za Presidential Suite.

hahaha.... I love this song; Imenipa bitter sweet memories.... Na nakumbuka the first time nimesikiliza nikagundua wamechukua instrumental ya "I gat 5 on it" ya Luniz (ambayo pia I loved) especially the chorus.... Check!

I got five on it grab your 40 let's get keyed,
I got five on it messin wit that Indo weed,
I got five on it it's got me stuck and not go back
I got five on it ... tala lala lala laa(nimesahau the words hapa...lol)
 
Last edited by a moderator:
Motema na ngai,,papaa la isti africa..count me in,ila atm zote nashika mimi+unipe na pin# !!

For health and safety, no acrobat please.

avatar69726_1.gif
 
Kwa mazoezi tu hayo kwenye avatar inaonesha flexibility ya hali ya juu.... Naamini hutakosa chance....lol
Let's gang up against her, hiyo flexibility sijui kama mie nitaonekana maana hizi nyama uzembe zimenijaa kweli.

Nani kasema unaenda kulala huko?

Mie nimeshaaga kwetu sirudi hadi siku 2, utanipeleka unakotaka.
 
Tena mie nalala pembeni, EMT kati wewe ADI ukutani.
Ngoja nichukueni na nit dress ya pink au red au blood purple lol

Konny wewe Psychologist? Umejuaje napenda ukutani? lol

Tena napenda tukilala hivo sura iface ukuta not the other way round...:embarassed2:
 
Let's gang up against her, hiyo flexibility sijui kama mie nitaonekana maana hizi nyama uzembe zimenijaa kweli..

We don't even have to gang up! She is definitely not coming with us! haaa!!
Yeye atakua na Smile na Bucho AMA Preta na Godfather.....
 
Ha ha ha ha ha, you are so naughty!
Sitaki tena pembeni, sikufikiria the fun utaipata kuface ukuta lol

Konny wewe Psychologist? Umejuaje napenda ukutani? lol

Tena napenda tukilala hivo sura iface ukuta not the other way round...:embarassed2:
 
Ha ha ha ha ha, you are so naughty!
Sitaki tena pembeni, sikufikiria the fun utaipata kuface ukuta lol

hahahahah!! Ukiona hivi ujue napenda spooning....lol So you can guess....

Tutakua twabadilishana baada ya masaa. Kama nilivosema caring is sharing...lol
 
Back
Top Bottom