Kwa wamama,wanawake wote wa ukweli. . . . !

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Kinachonifanya niwatambue na kuwapongeza WANAWAKE wa ukweli ni jambo ambalo nimekua ninalishuhudia karibu kila siku kwa rafiki yangu mmoja.Huyu jamaa,baba yake ni mlevi sana,hajui wanae wanakula nini na wanalalaje. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nilimuuliza yule jamaa yangu kuwa wapo kw kwenye maisha hayo kwa muda gani akaniamba kuwa ni muda mrefu umepita tangu baba yake aanze tabia hiyo,aliniambia ni miaka 15 sasa.Yeye baba huondoka asubuhi na hurudi usiku akiwa amelewa. . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . , . . . . . . . . . . . .Kijana ameniambia kuwa amekua akimsikia mama yake akimlalamikia baba yake kila asubuhi juu ya tabia yake ya ulevi.Mdogo wake wa mwisho jamaa yangu ana miaka 10,yani ina maana huyu amekua kwa nguvu ya mama peke yake,huyu mama ni mama lishe.Huyu mama ni mama hasa,ameweza kuilea familia pamoja na dume lisilokua na maana kwa miaka 15,sijui ataendelea na majukumu hayo kwa muda gani. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nampongeza sana huyu mama,pia nawapongeza wanawake wengine wote wanaojituma kwaajili ya familia zao.Japokua ni wachache,nawapongezeni,lakini nawapa pole wanawake ambao wana wanaume wa hovyo kama huyu!
 
For the last 15yrs,before that?was he responsible?Hebu chunguza zaidi upate historia kabla ya hapo ilikuwaje?Nina case kama hiyo kwenye ukoo,reason behind?mke alimlisha "LIMBWATA"(sina uhakika kama hivi vitu vinaaminika kuwepo lakini kwa baadhi ya watu vipo,MTAMBUZI aweza kutoa ushuhuda) na mume akawa zuzu baada ya hapo.Tumejaribu njia za kitaalumu lakini imeshindikina "kutoka huko aliko"
It is my life experience though
 
f a l a kweli hilo libaba....
 
Eiyer atlest leo umenikosha roho ma lovely lito bro. kwanza wewe u mtiifu sana kwakweli nakupongeza kwa hilo sana.

nirudi kwa pongezi ulizozitoa kwa huyu mama, kimsingi ni mama anaye taabika sana na sikufichi wazazi wengi wa kike walio lea watoto miaka ya 80-90 walikutana na hali hii. nafikir humu jamvini wengi wetu ni wahanga wa maisha ya ubaba yenye mabavu, na unyanyasaji uliopitiliza kwa mama na watoto hata katika matumizi ya rasilimali. pia wengi wetu tumelelewa na mama wachapa kazi wenye kujituma na kaujitolea juuu ya familia zao kwa hekima na uvumilivu sana.

kwa wamama wa kileo jamani siyo siri uvumilivu hatuna kabisa tebna ndo kama na kaelimu kamepanda ndo kabisa maudhi kidogo unataka kuepusha msongamano na wahauri wetu wamekuwa wabaya tukasahau kwamba maisha siyo siku zote yatakupa yaliyo mabaya tu ipo siku yatakupa na mazuri na iwapo hautopata hayo mazuri basi ujue kuwa itwas meant to be like that.Binafsi sipendi maisha ya kukosa uvumilivu hasa pale tatizo kubwa kama hili linapoingia ndani kumbuka uliapa for better for worse you should have planned it before aisee.

nami pia nampongeza sana huyu, mungu bwana hata muacha hivi ipo siku ataayfuta machozi yakwe kelele za shangwe
 
Last edited by a moderator:
KIKUNGU,hebu niambie limbata linafananaje?Maana huwa nalisikia tu,wala sijawahi ona linafanya kazi!
 
hakuna kama mama.

Ukikuta mama kama huyu anastahili sifa hiyo,lakini wapo wamama wa hovyo pia.Nadhani ni nani kama wazazi walio bora!
 

'Femme Fatale!'
 
gfsonwin,kinachonishangaza siku hizi ni kwamba,wadada wa siku hizi wamekua wa hovyo sana.Hawataki kutaabika,wao wanataka maisha ya mtelezo.Wanataka mume atakaewaoa wamkute ana gari,nyumba n.k,hawajui kuwa maisha ya namna hii ni maisha ya kitumwa kabisa.Ukimkuta mtu tayari ana mali lazima atakunyanyasa tu.Tafuta asiekua nacho muanze na mtaheshimiana!
 
Duuh kuna watu wanamaisha magumu, kuwa na **** kama hilo nyumba its psychological torture. Mungu azidi kuwapa nguvu.
 
Mama ni mama tuu,nampenda sanaaa mwanamme anaempenda nakumuheshimu mama yake hata aowe lakini ana mapenzi na mama yake...
 
Mama ni mama tuu,nampenda sanaaa mwanamme anaempenda nakumuheshimu mama yake hata aowe lakini ana mapenzi na mama yake...

Kumpenda na kumheshimu mtu kunatokana na mambo mengi,hakuji hivi hivi tu,na haijalishi ni nani!
 
Duuh kuna watu wanamaisha magumu, kuwa na **** kama hilo nyumba its psychological torture. Mungu azidi kuwapa nguvu.

Huwa najiuliza ni kwanini huyo mama hakuachana na huyo jamaa tangu kitambo akalea wanae,huyo jamaa hana faida kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…