Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

[emoji2] Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha kazi...kama jamaa alikuwa anaenda kazini kwa mguu...basi mashine itamsaidia kwenda kazini akiwa amekaa huku anamove..

Sawa mkuu mi mwenyewe hapa naenda kazini na machine yangu aina ya phonex na hapa nime-upgrade from Swala.,hahah.
 
Sawa mkuu mi mwenyewe hapa naenda kazini na machine yangu aina ya phonex na hapa nime-upgrade from Swala.,hahah.
Congratulations....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji115][emoji23]
Mungu hajakuacha mpaka December utakuwa kwente Toyo au boxer
 
Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana

nataka kuvuta mwaka huu mungu akipenda..vp performance yake na ulaji wa mafuta..unamiliki ya petrol au 1.5 ya diesel..stability ipoje barabarani..nna chaguzi mbili kati ya hii au forester..ingawa naona mzani umezidi kwenye hii
 
namiliki ya petrol, yangu lita 1 inaenda 10km , may be labda bcoz natumia sana AC, iko stable sana kwa road
 
Sisi wenye i.. tunapost wapi?
 
Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
Liko kwenye list yangu hili gari🤔🤔
Ngoja niendelee kukusanya data
 
namiliki ya petrol, yangu lita 1 inaenda 10km , may be labda bcoz natumia sana AC, iko stable sana kwa road
BOSS HII NI 4WD OR 2WD Kwa Highway au hata huku katikati ya Mji?. Boss samahani imekutumia Pm boss hii garri natamani kujua zaidi..
 
Nissan caravan inanisumbua niliagiza bila kuangalia ulaji wa mafuta sasa natamani kubadilisha engine.Vipi naweza kubadilisha engine nikaweka ya diesel na inayotumia mafuta wastani?
Funga mfumo wa gesi ya 'CNG'
 
Starter ya Nissan Xtrail unaweza ukahangaika weee ukaja kuipata kwa 500,000/=, wakati ya 1JZ toyota ukaja kuipata kwa 70,000/=, tena inakuwa na ubora zaidi, sasa kichaa gani aache kununua Toyota?
Kipendacho roho hula nyama mbichi mkuu ila, nadhani baadhi ya nissan zina option ambazo toyota of the same class hazina mfano extrail ina space kubwa ndani, bei ipo chini, na zina option ya kuweka on/off 4WD. Sasa ukija rav4 bei ipo juu, 4WD fulltime, ni compact suv, ingawa ina resale value compare na nissan xtrail. kila gari ina mazuri yake na mabaya yake cha msingi ni mtu kujua matumizi yako na uwezo wako pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…