Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
- Thread starter
- #181
Kama umeenda shule hebu define neno mashine...Nissan note nayo unaiita machine?hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeenda shule hebu define neno mashine...Nissan note nayo unaiita machine?hahah
Kama umeenda shule hebu define neno mashine...
[emoji2] Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha kazi...kama jamaa alikuwa anaenda kazini kwa mguu...basi mashine itamsaidia kwenda kazini akiwa amekaa huku anamove..Mashine ni nissan note,hahah.
[emoji2] Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha kazi...kama jamaa alikuwa anaenda kazini kwa mguu...basi mashine itamsaidia kwenda kazini akiwa amekaa huku anamove..
Congratulations....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji115][emoji23]Sawa mkuu mi mwenyewe hapa naenda kazini na machine yangu aina ya phonex na hapa nime-upgrade from Swala.,hahah.
AmenCongratulations....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji115][emoji23]
Mungu hajakuacha mpaka December utakuwa kwente Toyo au boxer
Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
namiliki ya petrol, yangu lita 1 inaenda 10km , may be labda bcoz natumia sana AC, iko stable sana kwa roadnataka kuvuta mwaka huu mungu akipenda..vp performance yake na ulaji wa mafuta..unamiliki ya petrol au 1.5 ya diesel..stability ipoje barabarani..nna chaguzi mbili kati ya hii au forester..ingawa naona mzani umezidi kwenye hii
Sisi wenye i.. tunapost wapi?Heshima kwenu wakuu,
Binafsi ningependa kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki na wale wenye ndoto za kumiliki magari ya kampuni ya NISSAN tukutane hapa tubadilishane uzoefu kulingana na aina ya NISSAN unayomiliki au uliyowahi kumiliki.
Ingependeza utueleze gari hilo la nissan umelimiliki kwa muda gani na ni changamoto zipi za kiufundi umekutana nazo na ulizitatua namna gani.
Hii inaweza kutusaidia kuondokana na dhana kwamba magari ya TOYOTA ndiyo yanayofaa kwa Tanzania na si vinginevyo.
Tukubali kwamba kuna kampuni nyingi za magari tofauti na TOYOTA za Japan na nje ya Japan ambazo zinatengeneza magari mazuri sana kuliko hata yale ya Toyota ila shida inakuja kwa mafundi wetu wanatukaririsha kuwa toyota ndiyo gari bora.
Kwa kuanzia labda niorodheshe baadhi ya models za NISSAN ambazo zimekuwa common hapa Tanzania.
1. Nissan Patrol
2. Nissan Safari
3. Nissan Murano
4. Nissan Elgrand
5. Nissan Serena.
6. Nissan Fuga
7. Nissan Dualis
8. Nissan X-Trail
9. Nissan Skyline
10.Nissan March
11.Nissan Tiida
12. Nissan Note
13. Nissan Blue bird
14. Nissan Sunny
15. Nissan Caravan
16.Nissan Juke
17.Nissan Terano
18. Nissan Wingroad
Unaweza kuongezea Nissan nyingine ambayo sijaitaja hapo.
Karibu tubadilishane uzoefu.View attachment 1055107
Sent using Jamii Forums mobile app
Liko kwenye list yangu hili gari🤔🤔Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
Unazidi nishawishi mkuunamiliki ya petrol, yangu lita 1 inaenda 10km , may be labda bcoz natumia sana AC, iko stable sana kwa road
.[emoji23][emoji23][emoji23]hii "i" mwisho wake ni ..st..??Sisi wenye i.. tunapost wapi?
BOSS HII NI 4WD OR 2WD. Nimekutumia Pm boss hii garri natamani kujua zaidi..namiliki ya petrol, yangu lita 1 inaenda 10km , may be labda bcoz natumia sana AC, iko stable sana kwa road
BOSS HII NI 4WD OR 2WD Kwa Highway au hata huku katikati ya Mji?. Boss samahani imekutumia Pm boss hii garri natamani kujua zaidi..namiliki ya petrol, yangu lita 1 inaenda 10km , may be labda bcoz natumia sana AC, iko stable sana kwa road
Hata mi mkuu hapa nazidi pata mzuka kama inafika 10KM/L na AC JUUUnazidi nishawishi mkuu
Kweli kabisa mkuuHata mi mkuu hapa nazidi pata mzuka kama inafika 10KM/L na AC JUU
Funga mfumo wa gesi ya 'CNG'Nissan caravan inanisumbua niliagiza bila kuangalia ulaji wa mafuta sasa natamani kubadilisha engine.Vipi naweza kubadilisha engine nikaweka ya diesel na inayotumia mafuta wastani?
Samahani...unamiliki x trail..?Starter ya Nissan Xtrail unaweza ukahangaika weee ukaja kuipata kwa 500,000/=, wakati ya 1JZ toyota ukaja kuipata kwa 70,000/=, tena inakuwa na ubora zaidi, sasa kichaa gani aache kununua Toyota?
Kipendacho roho hula nyama mbichi mkuu ila, nadhani baadhi ya nissan zina option ambazo toyota of the same class hazina mfano extrail ina space kubwa ndani, bei ipo chini, na zina option ya kuweka on/off 4WD. Sasa ukija rav4 bei ipo juu, 4WD fulltime, ni compact suv, ingawa ina resale value compare na nissan xtrail. kila gari ina mazuri yake na mabaya yake cha msingi ni mtu kujua matumizi yako na uwezo wako pia!Starter ya Nissan Xtrail unaweza ukahangaika weee ukaja kuipata kwa 500,000/=, wakati ya 1JZ toyota ukaja kuipata kwa 70,000/=, tena inakuwa na ubora zaidi, sasa kichaa gani aache kununua Toyota?