Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
kwa toyota huwa inafanyiwa update kwa kutumia toyota gps navigation map SD card pale toyota tanzania na CMC

hata nissan jaribu pale CMC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
Hapa nadhani ukigoogle unaweza kupata hatua za kubadilisha lugha kwenye hiyo navigation system.
Otherwise waone Nissan dealers kulingana na mkoa unaoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla, kwenye manunuzi Nissan ni cheap sana kuliko toyota yenye sifa zinazofanana. Uzuri wa Nissan hawana spea counterfeit sokoni, ndio sababu apea zake ni ghali. Ila kwa anaependa vya kudumu, Nissan is the way to go.
Nina swali kuhusiana na hii gari.

Kwa nini sokoni, kwa iliyotumika hapa nchini, Bei yake huwa chini sana??

Je huwa zinatatizo gani common hizi gari??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla, kwenye manunuzi Nissan ni cheap sana kuliko toyota yenye sifa zinazofanana. Uzuri wa Nissan hawana spea counterfeit sokoni, ndio sababu apea zake ni ghali. Ila kwa anaependa vya kudumu, Nissan is the way to go.

Sent using Jamii Forums mobile app

Natamani ukweli huu watanzania wote wapenda magari waujue...[/QUOTE]Nisaidieni ninataka kununua Nissan Serena mwenye uzoefu nayo aniambie uzuri wake na changamoto zake pia ulaji wa mafuta ukoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu.
Binafsi ningependa kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki na wale wenye ndoto za kumiliki magari ya kampuni ya NISSAN tukutane hapa tubadilishane uzoefu kulingana na aina ya NISSAN unayomiliki au uliyowahi kumiliki.

Ingependeza utueleze gari hilo la nissan umelimiliki kwa muda gani na ni changamoto zipi za kiufundi umekutana nazo na ulizitatua namna gani.

Hii inaweza kutusaidia kuondokana na dhana kwamba magari ya TOYOTA ndiyo yanayofaa kwa Tanzania na si vinginevyo.

Tukubali kwamba kuna kampuni nyingi za magari tofauti na TOYOTA za Japan na nje ya Japan ambazo zinatengeneza magari mazuri sana kuliko hata yale ya Toyota ila shida inakuja kwa mafundi wetu wanatukaririsha kuwa toyota ndiyo gari bora.

Kwa kuanzia labda niorodheshe baadhi ya models za NISSAN ambazo zimekuwa common hapa Tanzania.
1. Nissan Patrol
2. Nissan Safari
3. Nissan Murano
4. Nissan Elgrand
5. Nissan Serena.
6. Nissan Fuga
7. Nissan Dualis
8. Nissan X-Trail
9. Nissan Skyline
10.Nissan March
11.Nissan Tiida
12. Nissan Note
13. Nissan Blue bird
14. Nissan Sunny
15. Nissan Caravan
16.Nissan Juke
17.Nissan Terano
18. Nissan Wingroad

Unaweza kuongezea Nissan nyingine ambayo sijaitaja hapo.
Karibu tubadilishane uzoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app

WAKUU,
I AM REFFERRING TO NISSAN MARCH.
(1) Nissan March ya 2003: inasevu mafuta ila Ilinisumbua sana, ilikuwa inazimika mara kwa mara kwa tatizo la sensor, nakumbuka last time ilizima nikiwa maeneo ya kariakoo na mvua ikawa inanyesha niliteseka sana na mafundi nilowapigia ndo wakaja ikabidi tulisukume mpaka gereji yaani ile siku angetokea mtu akanipa laki tano ningempa hilo gari kabisaaaaaa. Fundi akanishauri bora niiuze maana tatizo lake kubwa ni hilo. Finally alijitokeza jamaa wa mikoani hela zinamwasha nikamshikisha.

(2) Nissan March K11: Pia inasevu mafuta ila tatizo lake belt zake haziko adjustable, na mara nyingi zinapiga kelele ukichuna breki au akiiwasha.

Kama unataka nissan March bora ununue hiyo K11.

SAMAHANI KAMA KUNA NILOMKWAZA, ILA NDO UKWELI WANGU THROUGH EXPERIENCE.
 
Natamani ukweli huu watanzania wote wapenda magari waujue...
Nisaidieni ninataka kununua Nissan Serena mwenye uzoefu nayo aniambie uzuri wake na changamoto zake pia ulaji wa mafuta ukoje.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Ninayo tangu mwaka 2015, ni nzuri sana kwa safari ndefu hasa ukiwa na familia kubwa.
Changamoto ninayoipata ni gharama za hydrolic fluid, bei yake inafika 180,000 kwa lita nne japo ukibadilisha inakaa muda mrefu sana. Pia check engine inawaka mara kwa mara, mafundi nao ndio hivyo tena kwenye kutoa errors.
Kama unapenda kukimbiza gari, karibu kwenye Serena
 
WAKUU,
I AM REFFERRING TO NISSAN MARCH.
(1) Nissan March ya 2003: inasevu mafuta ila Ilinisumbua sana, ilikuwa inazimika mara kwa mara kwa tatizo la silencer, nakumbuka last time ilizima nikiwa maeneo ya kariakoo na mvua ikawa inanyesha niliteseka sana na mafundi nilowapigia ndo wakaja ikabidi tulisukume mpaka gereji yaani ile siku angetokea mtu akanipa laki tano ningempa hilo gari kabisaaaaaa. Fundi akanishauri bora niiuze maana tatizo lake kubwa ni hilo. Finally alijitokeza jamaa wa mikoani hela zinamwasha nikamshikisha.

(2) Nissan March K11: Pia inasevu mafuta ila tatizo lake belt zake haziko adjustable, na mara nyingi zinapiga kelele ukichuna breki au akiiwasha.

Kama unataka nissan March bora ununue hiyo K11.

SAMAHANI KAMA KUNA NILOMKWAZA, ILA NDO UKWELI WANGU THROUGH EXPERIENCE.
Good experience....anayelenga kununua March ameshapata ABCs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check engine kwa nissan mara nyingi ni Oxygen seonsor chafu au imekufa...pia AirMAF sensor ikichafuka....
Nissan hazitaki bugudha Air filter yenyewe ikiwa cloges usishange kuona check engine
Nisaidieni ninataka kununua Nissan Serena mwenye uzoefu nayo aniambie uzuri wake na changamoto zake pia ulaji wa mafuta ukoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo tangu mwaka 2015, ni nzuri sana kwa safari ndefu hasa ukiwa na familia kubwa.
Changamoto ninayoipata ni gharama za hydrolic fluid, bei yake inafika 180,000 kwa lita nne japo ukibadilisha inakaa muda mrefu sana. Pia check engine inawaka mara kwa mara, mafundi nao ndio hivyo tena kwenye kutoa errors.
Kama unapenda kukimbiza gari, karibu kwenye Serena[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Nissan Patrol moja Old Model nilipata kwa mzungu mmoja aliyekuwa anafanya research ya wanyama pori ..Yeye alilinunua DT Dobbie
Basi ikafika wakati anaondoka akaliuza kwa bei ya kishkaji sana ...sijawahi badilisha hata bolt zaidi ya kufanya service ya kawaida na kubadilisha Timing Belt

Juzi nasafiri nikamuachia jamaa yangu mmoja sasa sijui alipasulia wapi rejeta bila kujua akaendesha hivyo kilichotokea gari ilizima yenyewe kuja kufungua Bonnet ya gari engine imeoza yote kilicho baki salama ni cylinder head na block ..80% ya engine imekufa ..kuulizia sasa spare na kuifanyia overhaul niliishia kushika kichwa ,nilichofanya ni kutoa matairi nikalifunika mpaka majaliwa tena

Jamaa yangu mwenyewe maisha ya kuunga unga kama yangu ,mke wake mwenyewe sio mzuri maana ningemmegea kupunguza hasira basi ndio hivyo tena

Nissan ni gari nzuri sana ila isije ikaua kitu kikubwa lazima ulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla, kwenye manunuzi Nissan ni cheap sana kuliko toyota yenye sifa zinazofanana. Uzuri wa Nissan hawana spea counterfeit sokoni, ndio sababu apea zake ni ghali. Ila kwa anaependa vya kudumu, Nissan is the way to go.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiujumla, kwenye manunuzi Nissan ni cheap sana kuliko toyota yenye sifa zinazofanana. Uzuri wa Nissan hawana spea counterfeit sokoni, ndio sababu apea zake ni ghali. Ila kwa anaependa vya kudumu, Nissan is the way to go.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie ni watoto wa baba mmoja au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check engine kwa nissan mara nyingi ni Oxygen seonsor chafu au imekufa...pia AirMAF sensor ikichafuka....
Nissan hazitaki bugudha Air filter yenyewe ikiwa cloges usishange kuona check engineNinayo tangu mwaka 2015, ni nzuri sana kwa safari ndefu hasa ukiwa na familia kubwa.
Changamoto ninayoipata ni gharama za hydrolic fluid, bei yake inafika 180,000 kwa lita nne japo ukibadilisha inakaa muda mrefu sana. Pia check engine inawaka mara kwa mara, mafundi nao ndio hivyo tena kwenye kutoa errors.
Kama unapenda kukimbiza gari, karibu kwenye Serena

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Ahsante mkuu, ngoja nihangaikie hizo sensor
 
Kuna Nissan Patrol moja Old Model nilipata kwa mzungu mmoja aliyekuwa anafanya research ya wanyama pori ..Yeye alilinunua DT Dobbie
Basi ikafika wakati anaondoka akaliuza kwa bei ya kishkaji sana ...sijawahi badilisha hata bolt zaidi ya kufanya service ya kawaida na kubadilisha Timing Belt

Juzi nasafiri nikamuachia jamaa yangu mmoja sasa sijui alipasulia wapi rejeta bila kujua akaendesha hivyo kilichotokea gari ilizima yenyewe kuja kufungua Bonnet ya gari engine imeoza yote kilicho baki salama ni cylinder head na block ..80% ya engine imekufa ..kuulizia sasa spare na kuifanyia overhaul niliishia kushika kichwa ,nilichofanya ni kutoa matairi nikalifunika mpaka majaliwa tena

Jamaa yangu mwenyewe maisha ya kuunga unga kama yangu ,mke wake mwenyewe sio mzuri maana ningemmegea kupunguza hasira basi ndio hivyo tena

Nissan ni gari nzuri sana ila isije ikaua kitu kikubwa lazima ulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah pole sana..
Ndiyo mambo ya ushkaji hayo...
Mimi huwa Nina Tabia moja ngumu sana...rafiki yangu huwa Ni rafiki yangu Mimi.....rafiki yangu si rafiki wa Mali zangu...

Mali yangu na ushkaji huwa Ni vitu tofauti kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari linaundwa kwa mifumo inayotegemeana kama binadamu.
Kifaa fulani cha gari kikiharibika usipokibadilisha kwa wati, lazima kifaa kingine ambacho kipo kwenye mfumo huo kiharibike..
Ndiyo maana inashauriwa ukihisi sehemu fulani inagonga wahi kutatua kabla haijaambukiza sehemu nyingine..
Hii ipo kwa magari yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kunambia kuwa bega moja likiteguka basi na la pili hivohivo or?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
We're sailing the same boat ...ukimpata mtaalam wa Navigation system unishtue mkuu...inanipa shida sana hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom