brightoscar
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 369
- 543
Patrol imekaa bomba, ila itie sport rims na nakshi nakshi za kutosha mbona utaipenda zaidi.
Haha ile njia dume milima imesimamia kucha!Mimi nimejiweka hapo Nissan patrol 2011 TD42 niliwahi kukodi moja nikapita nayo kutoka mlimba mpaka mafinga kwenye milima ya Kihansi akili yote ikahamia Nissan kwa kweli ni machine
Hautajuta nakwambia.Mimi hata similiki nissan,nimeingia tu kwenye uzi wenu maana kama kadualis kinanishawishi fulani hivi
Nimecheka eti mtu kaambiwa umeme mwingi wenye electronic.πππWabongo wanaogopa Gari za kisasa kwa kudanganyana eti zinatumia umeme mwingi, Sasa mlitaka Gari za kisasa zitumie nn? Kuni?