witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona mtu anataka ushauri mtandaoni tambua ana hela ya mawazo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona mtu anataka ushauri mtandaoni tambua ana hela ya mawazo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Nina Nissan Cube, 2007, nimeridhika nayo kuliko, kila kilichoandikwa kuhusu Nissan ni kweli, spears ghali kidogo, ila wasahau, iko stable, reliable, nimeka-jazz up basi kako poa sana, tairi pana basi kamenyanyuka hivi, nasikitika sijatumia Turbo/Sport kwa safari ndefu, ila nina mpango huo kwa kuenda samilia mama mikoani, gari zake ziko poa sana hizi Nissan, infact I am so hooked in such nimeanza kutafuta Nissan Cube ya 2011 au zaidi.
Tujipongeze kwa kweli. Bad note : Juzi pale Beachcomber Africana nilitolewa show na katoto fulani kavulana kako kama 8-9 yrs of age, kwa kuiita Nissan Cube ina sura mbaya?!😡😡😡 To make matters worst, nikashuhudia kale katoto kametoka na ndugu zake na wazazi wakapanda Bajaj?! Can you believe it?!
Ndorobo kabisa,,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cha kuzima hakisitiri makalio.Kuna Nissan Patrol moja Old Model nilipata kwa mzungu mmoja aliyekuwa anafanya research ya wanyama pori ..Yeye alilinunua DT Dobbie
Basi ikafika wakati anaondoka akaliuza kwa bei ya kishkaji sana ...sijawahi badilisha hata bolt zaidi ya kufanya service ya kawaida na kubadilisha Timing Belt
Juzi nasafiri nikamuachia jamaa yangu mmoja sasa sijui alipasulia wapi rejeta bila kujua akaendesha hivyo kilichotokea gari ilizima yenyewe kuja kufungua Bonnet ya gari engine imeoza yote kilicho baki salama ni cylinder head na block ..80% ya engine imekufa ..kuulizia sasa spare na kuifanyia overhaul niliishia kushika kichwa ,nilichofanya ni kutoa matairi nikalifunika mpaka majaliwa tena
Jamaa yangu mwenyewe maisha ya kuunga unga kama yangu ,mke wake mwenyewe sio mzuri maana ningemmegea kupunguza hasira basi ndio hivyo tena
Nissan ni gari nzuri sana ila isije ikaua kitu kikubwa lazima ulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ndicho kitu ameelezea hapo. Amesema kuwa ukiona kifaa kimeharibika usitembelee gari ikiwa inaumia na kifaa kibovu sababu itazalisha tatizo kubwa zaidi ya hilo.Hili tatizo sijawahi kukutana nalo mkuu.
Labd kama spea ikizingua uendelee kutumia kibishi, hapo lazima uzalishe matatizo mengine, ila ukifunga kwa wakati ni mwendo mdundo, mwendo mchubuyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwann anaweka maji kwenye Radiator......?! Hajui coolantKesi kama hii imemkuta rafiki yangu...yeye ana Nissan xtrail....mambo ya ushkaji yakamponza.
Kuna mshkaji wake akaja akamuazima gari jamaa akaenda Sehemu inaitwa mbuguni karibia na ukuta wa Magufuli...kumbe njiani kuna tatizo lilitokea rejeta ikawa inavijisha jamaa yeye akakanyaga mafuta tu...si unajua tena gari la kupewa, unalifanyia sifa.
Injini ikapata moto sana jamaa haelewi yeye na gia tu, kwa bahati akafika safari yake..anafika anataka kupaki gari likazima lenyewe...malaika alimuongoza hakuliwasha...akafanya yaliyompeleka kwa muda mrefu huku gari linapoa ila boya haelewi chochote.
Alipomaliza mishe zake akaja kwenye gari, kupiga jino moja gari likawaka..kama kawaida mzee na gia anafika tu home kwa mwenye gari, gari likazima...sasa hapa wote wawili walikutana vichwa maji...hawakujishughulisha kutafuta tatizo ni kwa nini gari limezimika..Ikawa usiku, ikawa asubuhi...mwenye gari akawasha ,likawaka akenda mtaa wa jirani kama Km 2 hivi akaeguza kurudi home wakati anaiacha barabara ya vumbi aingie kwenye lami gari ikazima na kulikwa na kamteremko pale so usukani ukafeli na brake zikawa ngumu gari likamshinda jamaa coz naye ni lena lena...likaserereka kwenye lami likagonga gari lingine ubavuni....wakaongea sijui walielewanaje...ila wakayamaliza..
Akaita break down kufikishwa garage mafundi kufungua bonnet engine imekaangika to the maximum...rejeta haina maji hata tone....wakamsimulia fundi tangu mwanzo kule mbuguni gari ilivyozima...akawaambia wangeongeza maji wangenusuru Injini..
Kulikuwa hakuna namna hata ya kureface cylinder head....
Jamaa akanunua injini nyingine maisha yakaendelea..from that day, anakagua maji kuliko kitu kingine kwenye lile gari.
Haya ni madhara ya kupeana gari na washkaji wazembe na mwenye mali kuwa mzembe kutokukagua gari mara kwa mara
Mimi huwa nina desturi...rafiki yangu ni rafiki yangu mimi...ila si rafiki wa mali yangu hata kama nimeinunua 750/=
Bongo tunarudishana sana nyuma kisa ushkaji usio na mashiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane pale marrybrown tupate kikombe cha kahawa nitakuelezea kila kitu kuhusu engine......Mara nyingi engine kuharibika inasababishwa na nini?
Je kupiga pasi engine ni sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yako ulipochukua ilikuwa na total mileage ya ngapi?!Sawa mkuu asante!...najiandaa kisaikolojia maana nasikia magari yote yakifika bongo baada ya muda engine inaanza kuzingua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wrong thread. Hapa ni Nissan familyI just bought my first Subaru (Forester 2015 XT). What are some important maintenance steps to know about so my car lasts many years and miles?
90,000kmYako ulipochukua ilikuwa na total mileage ya ngapi?!
Mkuu nina ka Nissan Cube, 2007 petrol, automatic. Gear hazi change, ni kama naenda na namba moja tu, reverse iko poa, toa msaada mkuu kama wajuwa tafadhali..Wrong thread. Hapa ni Nissan family
Zipo nyuzi nyingi sana humu zinahusu brands za toyotaSisi wa passo vits na ist tunakaa wapi
[emoji13][emoji13][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji13][emoji13]Wrong thread. Hapa ni Nissan family
Cube kama sikosei intumia CVT...hebu angalia fluid isijekuta imepungua sana, au imechoka sana, au isijekuta fundi kakuwekea ATF za kawaida...Mkuu nina ka Nissan Cube, 2007 petrol, automatic. Gear hazi change, ni kama naenda na namba moja tu, reverse iko poa, toa msaada mkuu kama wajuwa tafadhali..
Hiyo gari toleo hilo linatumia transmission ya mfumo wa CVT. Huu mfumo ni tofauti na ule uliozoeleka wa automatic transmission.Mkuu nina ka Nissan Cube, 2007 petrol, automatic. Gear hazi change, ni kama naenda na namba moja tu, reverse iko poa, toa msaada mkuu kama wajuwa tafadhali..
Hii ndio gear box ya gari inayotumia mfumo wa CVT.....Mkuu nina ka Nissan Cube, 2007 petrol, automatic. Gear hazi change, ni kama naenda na namba moja tu, reverse iko poa, toa msaada mkuu kama wajuwa tafadhali..
Ukitazama hapo unaona vyuma viwili vinavyounganishwa na chain au mkanda wa chuma huo. Hizo sahani ukikanyaga mafuta, hapo katikati inapopita huo mkanda wa chuma panatanuka au kupungua kwa kupokezana wakati unakanyaga pedal ya speed au kuachia.Hii ndio gear box ya gari inayotumia mfumo wa CVT..... View attachment 1714352View attachment 1714351
Hii ni gearbox ya automatic ya kawaida..... Tazama yale machuma yenye zile bangili zenye meno, hizo ndio gear zinazobadilisha unapokuwa katika mwendo. Na hizo chuma ndio huitwa counter gear.Mkuu nina ka Nissan Cube, 2007 petrol, automatic. Gear hazi change, ni kama naenda na namba moja tu, reverse iko poa, toa msaada mkuu kama wajuwa tafadhali..
Hizi zote ni Gearbox za automatic ya kawaida.... View attachment 1714356Hii ni gearbox ya automatic ya kawaida..... Tazama yale machuma yenye zile bangili zenye meno, hizo ndio gear zinazobadilisha unapokuwa katika mwendo. Na hizo chuma ndio huitwa counter gear. View attachment 1714355